secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,617
- 44,439
Kwa leo sina neno la kusema.
Wakuu hivi ni kweli hayo yanayosemwa mbona mimi nakunywa najionaga kawaida tu 🤔
Jibu hapa hapa tu mkuuBinti Sayuni03 .... Acha jib lang nikuostie PM.
Usije ukasema ukaharibu😂😂Kwa leo sina neno la kusema.
Yeah! Nikipataga muda naonjagaKwani umewahi kunywa?
Hapo sawa sasa na hawa wanaosema zinashuka chini kabisa inakuwaje?Zinashuka kwenda tumboni jamani au
Wahi nyumbani mkuundio
Sasa unataka vipande kwenye circle of wills?au kwenye moyo si zinashuka chini zinaenda kwenye colon kisha kwenye kidney then unazikojoa?Wakuu hivi ni kweli hayo yanayosemwa mbona mimi nakunywa najionaga kawaida tu 🤔
Yeah, hivyo.Usije ukasema ukaharibu😂😂
Urudi nyumbani ukafanye nini sasa?Sio kweli kabisa.... Hapa natamani kurudi nyumbani baada ya utamu wa beer...
HayaYeah, hivyo.
Njoo PM nikuambie.Zinashuka chini wapi?
Sehemu za siriZinashuka chini wapi?
Lavyu, right?Haya
Siyo kushuka chini hivyo mkuuSasa unataka vipande kwenye circle of wills?au kwenye moyo si zinashuka chini zinaenda kwenye colon kisha kwenye kidney then unazikojoa?
HayaLavyu, right?
Njozi njema.Haya
Kwako piaNjozi njema.
Kulala... Maana kero zote kwa usiku huu zitakuwa zimelala... Naomba nisifikiriwe vibaya.... 🤣Urudi nyumbani ukafanye nini sasa?