Hivi ni kweli udsm wamepandisha ada jamani?

ingia kwenye website yao kuna tangazo la kiwango cha ada...naona ada zipo kawaida tu hakuna mabadiliko...
 
Asanteni jamani,maana kuna mtu kanirusha roho huku,ukizingatia mwenyewe niko kwenye category ya no Loan,nlitaka kudhirai!
 
Back
Top Bottom