Olivia olivia
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,653
- 3,903
AhsantePole sana
Mkuu pole sana. na tatizo la kiafya au kuna kitu hakipo sawa kwenye mwili wako. Huu siyo uchawi.Hii imekaaje jamani...
Leo usiku majira ya sa 8 kasoro niliamka na kutoka nje
Kuna kitu nilisahau nilienda kuchukua hapo nje ( ndani ya fence)
Nilivyofika kwenye varanda la nje sijui nini kilitokea
Mimi nilianguka sehemu ambayo hata mtoto mchanga anayejifunza kutembea hawez kuanguka
Nilianguka ( sikujitambua nikiwa nimelala hapo chini sikua na fahamu yeyote) baada ya dakika kama 30 nilianza kupata fahamu na kujiona nimelala chini varanda la nje
Nilishangaa nimelalaje mahali pale nikakumbuka nilitoka kufata kitu ...sasa kila nilipotaka kuamka nilishindwa as if nakandamizwa chini
Sikua na nguvu kabisa nililegea na kuchoka
Badae sana nikaweza kuamka na kurudi ndani
Kichwa kilikua kizito
Kinauma
Nasikia kizungu zungu na kutapika
Hadi sasa bado najiuliza ilikuaje kuaje bado sijaelewa
Na bado mwili haujakaa sawa
Hii itakua ni nini jamani ?
Iombee hilo eneoHii imekaaje jamani...

Uzi UFUNGWE.Hamna uchawi hapo. Wahi hospitali kuna kitu hakipo sawa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hili swali tu wewe unamatatizo mawili!, kwanza unahitaji elimu juu ya kuzingatia afya maana kwa hilo lililokupata ulitakuwa uwe umeshaenda hospitali kama haujaenda bado!, pili inatakiwa elimu yakufuta hayo mawazo ya kuwaza uchawi hayo mambo yakiimani ni ubatili mtupu!.Hii imekaaje jamani...