IKUNGURU IJIRU CHUKU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2021
- 484
- 541
Hamia Musa Hasani,(mchachani/msasani)Kuna barabara ya kupitia baharini hakuna foleni hakuna adha.Nashangaa kuona UJENZI WA hovio WA BARABARA mwendo Kasi kwenda Mbagala iko hovio.
Injinia WA mkoa, wilaya as if wao wanaishi mbinguni, hawaoni hawaioni hiyo adha ya hiyo BARABARA.
Tunaomba wafike saiti waangalie.
Ulituona tukisherehekea?? Mbona Una hubiri Jambo halipoMliofanya sherehΓ© kwa kifo Cha JPM mnalialia Sasa
USSR
Yaani hiyo barabara ni hovyo hovyo! Na hzi mvua sasa!Ule ujenzi kweli ni wa "hovio" mimi pia nimeona.
Mbona hatari inazidi hapo kwenye `muandiko" kwaheri kiswahilimuandiko wako nii hatarishi kaisi chake.
Engineer wa hovio, mkandarasi wa hovio na kila kitu chya hovioUle ujenzi kweli ni wa "hovio" mimi pia nimeona.
' " hizi alama ooliskia wapi? kaa kwa kutulia.πππ€£π€£Mbona hatari inazidi hapo kwenye `muandiko" kwaheri kiswahili
Thanks ila nimefikisha ujumbe kaka' " hizi alama ooliskia wapi? kaa kwa kutulia.πππ€£π€£
Ipi hiyo mkuu usaidiwe?Nchi imevamiwa teh teh teh!!!!. Nikicheki hii barabara ya kwetu aki ata siamini kama ni Ile ilokuwa inamelemeta enzi zile za mwenda zake.... Ngoja tusubr marekebisho.