Kwa ukimya huu hivi ni kweli tulihitaji katiba mpya? Kumekuwa na kawaida katika nchi hii Raisi akiwa ni wa Dini ..... lazima asumbuliwe sana na media, watu wa haki za binadamu, wanaharakati, wanasiasa na wale viongozi wa Dini ya.... Kwa matamko, maandamano na vurugu! Naamini vurugu ya kiuchumi iliopo sasa na kauli za kibabe zinazoendelea nchini ingekuwa ni kwenye awamu ya nne nchi hii ingekuwa hapatoshi!!! Sawa na hili la katiba mpya. Mie niliamini tangu mwanzo nia ilikuwa ni kumsumbua tu Raisi na akija raisi ya imani ile hakuna atayeuliza! Mtakubaliana nami kwa sasa si mwanasiasa, kiongozi wa dini, wala mwanaharakati anayeliongelea, watu wote kimya kwa kuwa kwa sasa Raisi aliyepo ni wa ile imani ile ambayo hatakiwi asumbuliwe!