babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,841
- 6,546
Hivi Kijo bisimba na Analelia Nkya wapo?Huu uzi ni jiwe, umegonga penyewe kabisa! ni unafiki wa hali ya juu unaoendelea Tanzania! ni as if hawaki Raisi awe ni wa imani ile nyingine! nakubaliana na wewe haya mambo ya kuvunja nyumba za wananchi,teuzi za udini, kupiga marufuku bunge live, kasheshe ya sukar, kauli za ubabe mara ooh siwezi kumpa chakula mtoto wa mke wangu wakatu wakwangu ana njaa, mara atakayeleta fyokofyoko, na wao waishi kama mashetani etc nchi ingekuwa imechemka kwa maandamano, na matamko ya hatari, kutoka kila kona