Hivi ni Kweli Tulihitaji Katiba Mpya au ilikuwa ni katika Njia tu za Kumsumbua Kikwete?

Walio sumbuliwa ni baadhi ya wananchi na sio raisi wa serekali, maan ile katiba ilikuwa na niyawanchi lakini kunawatu wachache ambao niwamiliki wa hii nchi ndio walitengeza kamradi kale cha katiba ili wapige hela, na wamefanikiwa, maana katiba ilikula hela nyingi za wanyonge, alafu ikatiwa kapuni, sasaiv kamrad kamekamilika unafikiria nani atanyanyua mdome wake kuhoji,ndio sisi sisi wanyinge tulio wapigia kofi ili dili lifanikiwe kiurahisi zaidi.
Kazi imeisha maana watu wamesha kamilisha dili, waliokuwa wakiona nchi inaporwa hela walionekan hawaitakii mema nchi hii sasa wacha tuyaone kwa wote.
 
Si kwa unafiki huu aisee! Hatari sana, hata vyama vya upinzani huwa vinapata nguvu kama raisi ni wa dini.... , akishaondoka wapinzani na CCM wote wanakuwa kitu kimoja kuna watu kibao sasa hivi wamerudi CCM kimyakimya na kumsapoti raisi Joni, akishamaliza muda wake akaja ile imani nyingine wanakuwa wapinzani tena, so upinzani unakuwa na maandamano yanaanza tena
 
Hivi sisi wasabato tunapo amrishwa kufanya usafi siku ya jumamosi ni sahihi? Au kwa kuwa hatuna wa kutusemea? Au mnataka kutupima imani? Najua enzi zile tungeandamana lakini duhh, mtupe pole hapa wanataka kutupima imani zetu?
 
Huu uzi ni jiwe, umegonga penyewe kabisa! ni unafiki wa hali ya juu unaoendelea Tanzania! ni as if hawaki Raisi awe ni wa imani ile nyingine! nakubaliana na wewe haya mambo ya kuvunja nyumba za wananchi,teuzi za udini, kupiga marufuku bunge live, kasheshe ya sukar, kauli za ubabe mara ooh siwezi kumpa chakula mtoto wa mke wangu wakatu wakwangu ana njaa, mara atakayeleta fyokofyoko, na wao waishi kama mashetani etc nchi ingekuwa imechemka kwa maandamano, na matamko ya hatari, kutoka kila kona
 
Yale maandamano ya kutaka katiba mpya hadi watu wakafa ilikuwa ni fix, issue ilikuwa ni kumsumbua tu jamaa asitawale kwa amani! watu wana DHAMBI SANA
 
wanafiki sasa wanaonekana sura zao maana sasa wote kimyaaaa sababu yupo wa dini ileee
 
Hivi sisi wasabato tunapo amrishwa kufanya usafi siku ya jumamosi ni sahihi? Au kwa kuwa hatuna wa kutusemea? Au mnataka kutupima imani? Najua enzi zile tungeandamana lakini duhh, mtupe pole hapa wanataka kutupima imani zetu?

Haya ni matatizo yenu - kwani mkisali Jumapili Mungu hasikilizi maombi yenu. Ua mnadhani kuwa Mungu analala Jumapili? Mbona wengine wanasali Ijumaa - tena siku ya kazi! lakini wapo Kimya!
 
Haya ni matatizo yenu - kwani mkisali Jumapili Mungu hasikilizi maombi yenu. Ua mnadhani kuwa Mungu analala Jumapili? Mbona wengine wanasali Ijumaa - tena siku ya kazi! lakini wapo Kimya!
Ibada huwa na heshma yake na siku yake, sie kwetu Jumamosi ndio siku yetu kwa mujibu wa imani yetu kama zilivyo itikadi nyinginezo.
 
Mchakato wa katiba mpya lilikuwa ni dili la wapigaji tu!!!

Nashangaa huyu mleta mada anavyodai JK alilazimishwa kuleta suala la katiba mpya? Suala la katiba mpya alilileta JK mwenyewe na wala siyo CCM. Alikuwa anatafuta legacy. Ushauri alipewa na nani? Hebu tuache kupindisha mambo ili tuweze kudai kitu ambacho hakipo.
Udhaifu wa JK ulikuwepo na ilitokana na uwezo wake mdogo kama binadamu na siyo kwa sababu ya dini yake. Vivyo hivyo tusitake kukuza uwezo wake au kuficha udhaifu wake kwa sababu ni wa dini moja nasi.
Hakuna cha maana katika uzi huu bali wapambe wa JK kuhangaika na legacy yake.
 
Si kwa unafiki huu aisee! Hatari sana, hata vyama vya upinzani huwa vinapata nguvu kama raisi ni wa dini.... , akishaondoka wapinzani na CCM wote wanakuwa kitu kimoja kuna watu kibao sasa hivi wamerudi CCM kimyakimya na kumsapoti raisi Joni, akishamaliza muda wake akaja ile imani nyingine wanakuwa wapinzani tena, so upinzani unakuwa na maandamano yanaanza tena

Kumsapoti haitokani na dini bali kile anachotenda. Mnataka kuficha udhaifu wa rais mliyempenda JK kwa kuleta udini? Hapo mnajitekenya na kucheka wenyewe. JK alikuwa rais dhaifu aliyefuja pesa za umma kwa safari za nje zisizo kwisha na alifanya serikali kuwa ya kishikaji hadi kukosa ufanisi.
Mnaleta udini ili kufunika uchafu na udhaifu wake? Mtashindwa maana udhaifu wake uliwaathiri wakristo na waislamu. Na ndiyo maana mnaojazana humu lenu moja. Nyie ni wanufaika wa udhaifu wa JK na tunawatambua.
 
Pengine hatokuja atokee JK mwingine kwa ubora, pamoja na figisu zote zile Mzee aliendelea kutabasamu... Sipatii picha Dr. Slaa angekuwa amefikisha 40% kama aliyopata Mamvi TZ isingetawalika. Ila kwa kuwa 2015 walikuwa WAO peke yao hata matokeo yangekuwa 51-49 kusingekuwa na shida:::::::: wanafiki sana watu hawa
Mimi mwenyewe muislamu ila muislamu aliepita alikua ameifikisha pabaya kijiji chetu
 
"Sisi kama CCM, kwa wingi wetu tunashindwa kuishauri Serikali kwa mambo ya ukweli, hatuna sababu ya kubaki kuwa madarakani".

Mhe. Hussein Bashe (MB).

Huyu jamaa nimemvulia kofia natamani CCM ingekuwa na Wabunge wengi na hata Viongozi wa juu wa CCM wenye mtazamo kama wa huyu lakini kwa MACCM wengi chama kwanza na nchi baadaye na hii inaigharimu sana nchi yetu na hivyo kukosa maendeleo ya kweli kwa miaka chungu nzima sasa pamoja na utajiri mkubwa tuliokuwa nao.
Dah! eti kila mfanyakazi was serikari bosi wake atakuwa MACCM, ni kaulu ya magufuli
 
Kama ni katiba mpya wailete ile rasimu ya kwanza, hiyo nyingine imevibana vyama vingine
 
Acheni udini nibaya sana. Kwa hujaona watu wakipaza sauti zao turejee kwenye rasimu ya Warioba. Acheni uzwazwa.
 
NAAMINI HATUKUWA NA NIA YA DHATI NA KATIBA MPYA, ISSUE TU ILIKUWA NI KUMSUMBUA MUISLAMU JK, MAANA NDO KAWAIDA YA WAGALATIA, LEO HII ASILIMIA 80 WOTW WAMERUDI CCM AKISHAMALIZA TU JOHN AKAJA HUSSEIN WOTE WANAIKIMBIA CCM WANAKWENDA UKAWA
 
Bado baraza la walei tunahakiki mwenendo wa hii sirikali tutatoa WARAKA subirini tuu jamani
 
SOTE tunapaswa kuamini tatizo la sukari limetokana na 'wafanyabiashara wasio waaminifu kuficha sukari.' Ingekuwa wakati wa Jakaya lingekuwa limetokana na udhaifu wa Serikali kukurupuka na kuzuia sukari kutoka nje bila ya kufanya tathmini ya Mahitaji na upatikanaji wa sukari.Kuongoza Nchi ukiwa Rais 'Dhaifu' ni kazi ngumu sana
Siasa zetu ni nzuri sana kwa kuwa huhitaji Degree ya Political science kuwajua Wanafiki
Ndugu yangu Pohamba jaribu kufafauna, maana nimejaribu kusoma kwa makini na kurudia lakini bado sijakupata kabisa.
 
Napenda nyinyi wasema ukweli!
Ukimsoma padri John C Sivalon kwenye kitabu chake KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA utaelewa sana kwanini kiongozi yeyote muislamu lazima apigwe vita. Wakati wa nyerere hakuwahi kuandikiwa barua za kichungaji kumlaumu. Kaja Mwinyi kaandikiwa barua za kumlaumu za kichungaji zaidi ya 13. Huku yeye na familia yake wakitukanwa kuwa wezi wa mali ya umma. Jengo lolote zuri tuliimbiwa kuwa ni la mama Sity Mwinyi.
Alipokuja mkapa akapita salama bila kuandikiwa barua yakichungaji hata moja. Pamoja na kufanya biashara ikulu,kujimilikisha mgodi wa kiwira,hatukuona barua za kichungaji.
Alipokuja Kikwete hakuna kashfa hajatupiwa. Leo kila jengo,gari,biashara,kampuni nzuri ni ya Ridhwani Kikwete.
Mbinu zile zile. Maneno yale yale, kana kwamba woote sisi hatutafakari.
Kaja Jpm anasifiwa kama malaika asiye na mapungufu.
Hao ni viongozi wa juu. Sikuambii viongozi wa ngazi za chini ni kiasi gani wanapigwa vita.
Soma kitabu hicho utayaelewa hayo kwanini yatokee
 
Back
Top Bottom