Kwa mujibu wa wahutubiaji wote leo wakiongozwa na jiwe, wamesema hii ndo flyover ya kwanza Dar. Wakati pale Kurasini kuelekea daraja la Nyerere kuna flyover nzuri na more complex hata kuliko hako kadaraja ka Tazara. Lengo lao hasa ni nini? Au ni kumpa ujiko jiwe kwamba ndo kajenga flyover ya kwanza?? Nawasilisha