Hivi ni kweli simu inawezekana kulipuka??

chiumbimnungu

Senior Member
Mar 25, 2017
151
217
Hebu tujjaribu kushare hili jambo. Nimeshawahi kuona picha na maneno mengi mtandaoni yakisema simu inaweza kukulipukia ukiwa unaongea huku ikiwa kwenye chaji. Mimi kwa uelewa wangu naona vitu vinavyoweza kulipuka ni vile vyenye labda kapasta kubwa ndani. Vyenye asili ya gesi ndani kwa mfumo wa simu ndani sijaona MNA yoyote ambayo inawezekana kulipuka. Labda wale wenzangu wenye utalaam wa vitu vya electronic nini kwenye simu kinachoweza kufanya ikalipuka? Au ndio hadithi ya ukiona mvua inanyesha na jua linawaka simba anazaa???
 
Umesahau kuwa simu ina battery???
 
Niliwahi kuipasua betri ya simu yangu baada ya kuiona imevimba... Basi nikasema ngoja niimwagie maji ili ku neutralize zile chemicals kable sijaendelea kuifanyia utafiti wa zile cells za ndani...
Kilichotokea Weee!
Ile betri ililipuka kama bomu na ikawaka moto wa kiberiti... Niliogopa sana siku ile. Ule moto uliruka mpaka ukakaribia kugusa bati la kwenye kibaraza...
 
Mwambie ajue
 
Back
Top Bottom