inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 17,983
- 18,271
joh makini hana lolote na wala hamfikii darasa kwa utunzialafu kuna mibwege humu inanyanyua pua eti darasa ni mkali kuliko joh makini..chalii ya daraja bee,mwamba wa kaskazini na bongo tz kwa ujumla
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili za kijinga sana hizi... Unamfananisha Manji na Darasa????Wewe unashangaa Darasa kula unga. Kwa nini usishangae Mwenyekiti wa Yanga na diwani wa Mbagala Yusuf Manji akila Unga
Akili za kijinga sana hizi... Unamfananisha Manji na Darasa????
Manji anakula unga grade 1 na balance diet, haumizi kichwa kwa stress za maisha.....
Akiamua kwenda kubadilisha damu ni dakika kumi tu anakwea pipa tofauti na huyo kijana wako, anaekula uga grade ya mwisho ule uchafu.....
Wewe inabidi ukaisaidie police....Akili za kijinga sana hizi... Unamfananisha Manji na Darasa????
Manji anakula unga grade 1 na balance diet, haumizi kichwa kwa stress za maisha.....
Akiamua kwenda kubadilisha damu ni dakika kumi tu anakwea pipa tofauti na huyo kijana wako, anaekula uga grade ya mwisho ule uchafu.....
Uyu alizoea Facebook atalambwa ban ad heshima irudNoma sana naona unakimbilia kwa watetezi wako mke wa darasa
Hahahahizi ndo stori za wanaume wa Daslam, they discuss people and rumours insteady of ideas and facts.
Ngw'ana Kabula
Ndo mnavyojidanganya baada ya kubwia ee!Akili za kijinga sana hizi... Unamfananisha Manji na Darasa????
Manji anakula unga grade 1 na balance diet, haumizi kichwa kwa stress za maisha.....
Akiamua kwenda kubadilisha damu ni dakika kumi tu anakwea pipa tofauti na huyo kijana wako, anaekula uga grade ya mwisho ule uchafu.....
Tusiish kwa maneno ya maono . How sure you are , Give us evidences tukuelewe . Kwanza upo Moro ...Hzo story za kujifurahishaa tu mtaanMtaani kuna habari zinasambaa kwa kasi kuwa msanii wa hit song ya muziki, Msanii Darasa anakula unga. Juzi kati nikafanikiwa kumuona kwenye Clouds Tv kwenye show ya jiwe la mwezi pale Morogoro jamaa amepungua sana halafu muda wote alikuwa ana wenge sana.
Je tetesi hizi zina ukweli kiasi gani?
Umeongea hoja yenye mashiko.Hii thread itakuja kutumika kama kaburi la darasa baada ya ukweli kujitenga
Sent using Jamii Forums mobile app
tuletee feedbackDarasa anakunywa pombe ila hali unga
Labda km kaanza Jana
Darasa sio MTU wa kujichanganya anajitambua
Yule mwanamke wake angeachana nae anamlostisha sana
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
hakika mkuuHii thread itakuja kutumika kama kaburi la darasa baada ya ukweli kujitenga
Sent using Jamii Forums mobile app
nje ya madaalafu kuna mibwege humu inanyanyua pua eti darasa ni mkali kuliko joh makini..chalii ya daraja bee,mwamba wa kaskazini na bongo tz kwa ujumla
Sent using Jamii Forums mobile app