inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 17,962
- 18,222
joh makini hana lolote na wala hamfikii darasa kwa utunzialafu kuna mibwege humu inanyanyua pua eti darasa ni mkali kuliko joh makini..chalii ya daraja bee,mwamba wa kaskazini na bongo tz kwa ujumla
Sent using Jamii Forums mobile app