Hivi ni kweli Msanii Darasa anakula unga?

Wewe unashangaa Darasa kula unga. Kwa nini usishangae Mwenyekiti wa Yanga na diwani wa Mbagala Yusuf Manji akila Unga
Akili za kijinga sana hizi... Unamfananisha Manji na Darasa????

Manji anakula unga grade 1 na balance diet, haumizi kichwa kwa stress za maisha.....

Akiamua kwenda kubadilisha damu ni dakika kumi tu anakwea pipa tofauti na huyo kijana wako, anaekula uga grade ya mwisho ule uchafu.....
 
Drugs ni drugs tu, haina grade one au grade ten. Au nani kakwambia balance diet inasaidia katika kuathirika na dawa za kulevya? Ingekuwa kama unavyofiria wewe basi tusingeona wakina Amy Winehouse wanakula. Maana wanakufa huku wanaacha mamilioni benki
 
Akili za kijinga sana hizi... Unamfananisha Manji na Darasa????

Manji anakula unga grade 1 na balance diet, haumizi kichwa kwa stress za maisha.....

Akiamua kwenda kubadilisha damu ni dakika kumi tu anakwea pipa tofauti na huyo kijana wako, anaekula uga grade ya mwisho ule uchafu.....
Wewe inabidi ukaisaidie police....
 
Akili za kijinga sana hizi... Unamfananisha Manji na Darasa????

Manji anakula unga grade 1 na balance diet, haumizi kichwa kwa stress za maisha.....

Akiamua kwenda kubadilisha damu ni dakika kumi tu anakwea pipa tofauti na huyo kijana wako, anaekula uga grade ya mwisho ule uchafu.....
Ndo mnavyojidanganya baada ya kubwia ee!
 
Mtaani kuna habari zinasambaa kwa kasi kuwa msanii wa hit song ya muziki, Msanii Darasa anakula unga. Juzi kati nikafanikiwa kumuona kwenye Clouds Tv kwenye show ya jiwe la mwezi pale Morogoro jamaa amepungua sana halafu muda wote alikuwa ana wenge sana.
Je tetesi hizi zina ukweli kiasi gani?
Tusiish kwa maneno ya maono . How sure you are , Give us evidences tukuelewe . Kwanza upo Moro ...Hzo story za kujifurahishaa tu mtaan
 
Vijana wengi wa Gomz wanakula unga wakiongozwa na yeye ndo maana kapotea kwenye Raman hivi sasa
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom