Aaron
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,019
- 4,693
Wana jukwaa.
Wakati wa kampeini zinaendelea za uchaguzi mkuu.. magufuli alipofika bariadi wakati akiendelea na kampeini zilikuja taarifa humu ndani kuwa magufuri hakumnadi chenge kwa kigezo cha kashfa zake ikumbukwe wakati wa kampeini magufuli alikuwa anapinga ufisadi hivyo kupelekea kutomnadi na tuliambiwa chenge alimualika magufuli chakula cha jioni lakini magu alikacha mualiko huo..
Je, kuteuliwa kwa chenge kuwa mwenyekiti wa bunge ni ujumbe kwa magufuli kuwa chenge hana doa la kashfa...??? Michango yenu..