Hivi ni kweli kuna kitu kinaitwa Gundu?

FundiNgoma

Senior Member
Dec 26, 2019
132
264
Yani najiuliza hivi kweli kitu gundu kipo au ni nadharia tu.

Kuna ile mtu anaambiwa we una gundu yani mambo yake hayatoenda na hatokaa afanikiwe katika jambo lolote abadani,kama ni mafanikio atayasikia tu kwa wengine,kuna hicho kitu nasikia sana kuhusu Gundu,sasa niwaulize wana MMU maana hili jukwaa lina wajuvi wa mambo na imani tofauti tofauti hivi hicho kitu kipo au ni nadharia tu na kama kipo dawa yake ni nini....?

Karibuni

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom