Hivi ni kweli kuna dawa ya mapenzi?

Hivi ni kweli kuna dawa ya mapenzi?

Dah!!! Hili Taifa langu la Tanzania sijui linaenda wapi maana kila dhambi tunajihusisha nazo... Yaani tunakuwa kama tunamzidi hata huyo shetani kwa maasi... Iwaje kijana kama wewe na umri huo mdogo ambao unategemewa kuwa una nguvu za KUTOSHA kuweza kusaidia maendeleo ya nchi wewe mwenzetu unawaza kulelewa. Kwa hali hiyo mtoto mdogo hasiyejiweza au yule mtu mzima ambaye anahitaji msaada huo nani atampa!!!? Vijana tupunguze kuendekeza anasa zisizo na maana na tujitume katika kuchakarika ili japo tuweze kulisogeza taifa letu mbele
 
Nimekuwa nikibishana sana na wadau kuwa hakuna dawa ya mapenzi na ni uwongo mtupu huku nikishikilia imani yangu kuwa binadamu hatutakiwi kuwa washirikina na tunapashwa kumtumainia mwenyezi mungu tu.

lakini cha kunistaajabisha nimejikuta nikiona wenzangu wakienda kwa waganga mbalimbali kupewa dawa za kuwapata akina dada mbalimbali maarufu na matajiri na hata hizo hirizi zao wananionyesha na wengi wao sasa maisha yao ni mazuri.

Kwani wameikamata kindumba mijidada ya hadhi na mijimama kiasi kwamba hata mimi sasa nashawishika kujiingiza katiki ulingo huo wa kutumia ndumbazi kupata akina dada na kuachana na imani yangu ya kidini kwani nina miaka 25 sasa ya kuamini mola pekee na sina demu mkali na wala hawanitamani hivyo najikuta naishia tu kupiga nyeto.

Naombeni kujua je ni kweli kuna dawa katiki mapenzi na je hao waganga wazuri wako wapi? kwani nina listi ya mademu na majimama nataka nikaitengeneze kindumba nami nijibwedee tu kiulaini huku nikilelewa na kumlia vyake ila nasikia kuwa hizo dawa unatakiwa kuzirinyunyuzia kila mara na ukisahau tu mapenzi yanakuwa shubiri.

Karibuni.
Kama kweli una umri wa miaka 25 na hii ndiyo akili yako imetumika kuwaza ulichoandika..... Nawapa pole wazazi, ndugu, jamaa na mpenzi wako wa ndumba, bila kusahau Serikali kwa uwepo wako katika idadi ya wananchi wake.
 
Dah!!! Hili Taifa langu la Tanzania sijui linaenda wapi maana kila dhambi tunajihusisha nazo... Yaani tunakuwa kama tunamzidi hata huyo shetani kwa maasi... Iwaje kijana kama wewe na umri huo mdogo ambao unategemewa kuwa una nguvu za KUTOSHA kuweza kusaidia maendeleo ya nchi wewe mwenzetu unawaza kulelewa. Kwa hali hiyo mtoto mdogo hasiyejiweza au yule mtu mzima ambaye anahitaji msaada huo nani atampa!!!? Vijana tupunguze kuendekeza anasa zisizo na maana na tujitume katika kuchakarika ili japo tuweze kulisogeza taifa letu mbele
Nimechoka alipoandika ana miaka 25, kazi kweli kweli.
 
Hamna Zambi Kubwa Dunian Kama Shirk Yaan Umenskitsha Mdogo Wangu Unafanya Zambi Ya Shirk IL Ufanye Zamb Ya Kuzn Muogope Mola Wako Fanya Kaz Fanya Ibada Maisha N Matam Kwa Wanao Mubudu Mungu Utakuwa Maskin Ww Watch Out
 
Back
Top Bottom