Hivi ni kweli ile kodi ya 10% kwa wenye nyumba za kupangisha imeishaanza kulipwa TRA?

Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,311
2,000
Mambo ya siwe mengi mengi yasiwe mambo. Kuna jamaa yangu kanambia alikuwa kaenda kulipia hyo kodi TRA akawaambia yeye kodi ya pango kaishamlipa mwenye nyumba. TRA wakamwambia alipe kutoka mfukoni mwake, mwaka ujao atamkata juu kwa juu.

Swali kwa wale wenye nyuma za kupangisha na fremu za biashara nikweli ili jambo lipo?Nakama lipo mpangaji anawithhold kodi kwa niaba ya TRA i mean mpangaji anatumika kama agent katika kumkusanyia kodi TRA? au mwenye nyumba ndo anatakiwa kwenda kulipia hyo kodi?
 
BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,047
2,000
Kama mama lishe na wauza karanga wanalipa elf 20 kwa mwaka kupitia vitambulisho, unashangaa fremu na pango?!

Itafika siku hata hewa italipiwa. Jiandae tu ndugu.
 
Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,311
2,000
Kama mama lishe na wauza karanga wanalipa elf 20 kwa mwaka kupitia vitambulisho, unashangaa fremu na pango?!

Itafika siku hata hewa italipiwa. Jiandae tu ndugu.
Wala sijashangaa nimeuliza vizuri ili nijuzwe
 
white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
4,535
2,000
Mambo ya siwe mengi mengi yasiwe mambo. Kuna jamaa yangu kanambia alikuwa kaenda kulipia hyo kodi TRA akawaambia yeye kodi ya pango kaishamlipa mwenye nyumba. TRA wakamwambia alipe kutoka mfukoni mwake, mwaka ujao atamkata juu kwa juu.

Swali kwa wale wenye nyuma za kupangisha na fremu za biashara nikweli ili jambo lipo?Nakama lipo mpangaji anawithhold kodi kwa niaba ya TRA i mean mpangaji anatumika kama agent katika kumkusanyia kodi TRA? au mwenye nyumba ndo anatakiwa kwenda kulipia hyo kodi?
Mbona hiyo kodi ipo miaka mingi tu?!!! Kiu taratibu mwenye nyumba ndio anatakiwa ailipe hiyo kodi, ila kwa kuwa mfumo wa kodi wetu ni wa ovyo, wanashindwa kuikusanya toka kwa mwenye nyumba, ndio wana mbambika mpangaji, eti ailipe halafu akamwambie mwenye nyumba ndio amrudishie!!! Ila kuna wenye nyumba waelewa wanakubali ila ni wachache sana!!!! Zigo lina muangukia mpangaji. Ndio maana bei halisi ya kodi ya pango inapunguzwa kwenye mkataba,. Na TRA, huwa wanadai kuwa ni ngumu kuikusanya kwa wenye nyumba kwa kuwa hawako kwwnye mfumo wa kulipa kodi, mtu hana TIN, hiyo kodi itakusanywa vipi, ila ni uzembe tu.
 
IROKOS

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
9,034
2,000
Hiyo Inaitwa Withholding tax is ipo Miaka mingi.... Mashirika au NGOs ambazo hukodisha nyumba za watu, kuepuka ufusumbufu serikalini huwa wanaamua kulipa moja kwa moja tra halafu wanakatana na mwenye nyumba...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
7,854
2,000
Mambo ya siwe mengi mengi yasiwe mambo. Kuna jamaa yangu kanambia alikuwa kaenda kulipia hyo kodi TRA akawaambia yeye kodi ya pango kaishamlipa mwenye nyumba. TRA wakamwambia alipe kutoka mfukoni mwake, mwaka ujao atamkata juu kwa juu.

Swali kwa wale wenye nyuma za kupangisha na fremu za biashara nikweli ili jambo lipo?Nakama lipo mpangaji anawithhold kodi kwa niaba ya TRA i mean mpangaji anatumika kama agent katika kumkusanyia kodi TRA? au mwenye nyumba ndo anatakiwa kwenda kulipia hyo kodi?
WITHHOLDING TAX INATESA WAFANYABIASHARA KWANI KODI HII MWENYE NYUMBA ANATAKIWA AILIPE NA SI MPANGAJI KWA NIABA YA MWENYENYUMBA! MPANGAJI AKIILIPA MWENYENYUMBA HAWEZI KUMREJESHEA.
WAFANYABIASHARA TUSEME HAPANA KWA KODI HII KWANI NI MZIGO USIO WETU.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom