Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,019
Mambo ya siwe mengi mengi yasiwe mambo. Kuna jamaa yangu kanambia alikuwa kaenda kulipia hyo kodi TRA akawaambia yeye kodi ya pango kaishamlipa mwenye nyumba. TRA wakamwambia alipe kutoka mfukoni mwake, mwaka ujao atamkata juu kwa juu.
Swali kwa wale wenye nyuma za kupangisha na fremu za biashara nikweli ili jambo lipo?Nakama lipo mpangaji anawithhold kodi kwa niaba ya TRA i mean mpangaji anatumika kama agent katika kumkusanyia kodi TRA? au mwenye nyumba ndo anatakiwa kwenda kulipia hyo kodi?