Hivi ni kweli hakuna msafi ndani ya CCM?

kumbe! sikujua kama naibu spika ndiye alikuwa waziri wa ujenzi wakati ule hiyo ferry iliponunuliwa!
Umeelewa vibaya. Naibu spika ndiye mwenye kuongoza mijadala huru ya bunge huru na kupitia kwake tutamjua nani alikuwa waziri wakati ferry iliponunuliwa au wewe unamjua?
Pia Bunge ndio linaweza kuiuliza serikali ya mtukufu ni lini hiyo huduma ya ferry ya Dah!-bwaga.moyo
itaanza kutoa huduma. Au ni lini urekebishaji wa mwendokasi wa ile ferry utakamilika ili ianze kusafirisha wadanganyika.
 
mkuu,tumeambiwa safari hii tunae Kiongozi ambaye ni chaguo la Mungu sio chaguo la ccm japo cha ajabu tunaambiwa tena tumuombee kwa Mungu huyo huyo aliyemchagua! tusubiri,pengine tutafikishwa kwenye ile nchi ya ahadi.
Mimi nikikuwa najua tumemchagua sisi watanzania na yeye ndo chaguo letu watz kumbe yeye ni chaguo la mungu basi bado hatujapata rais nji hii.
 
Umeelewa vibaya. Naibu spika ndiye mwenye kuongoza mijadala huru ya bunge huru na kupitia kwake tutamjua nani alikuwa waziri wakati ferry iliponunuliwa au wewe unamjua?
Pia Bunge ndio linaweza kuiuliza serikali ya mtukufu ni lini hiyo huduma ya ferry ya Dah!-bwaga.moyo
itaanza kutoa huduma. Au ni lini urekebishaji wa mwendokasi wa ile ferry utakamilika ili ianze kusafirisha wadanganyika.
mkuu,hilo sio suala la kuuliza bungeni.inajulikana wazi kuwa aliyekuwa waziri wa ujenzi wakati ferry inanunuliwa alikuwa JPM.
 
mkuu,hilo sio suala la kuuliza bungeni.inajulikana wazi kuwa aliyekuwa waziri wa ujenzi wakati ferry inanunuliwa alikuwa JPM.
Huyu JPM anayetumbua majipu?
Daktari/ mganga anapoumwa au anapopata jipu mgongoni nani atalitumbua?
Mganga, hajigangi?
 
Tumu
Wakristo wanaamini yesu ni Mungu , bado alimuomba baba yake katika kukamilisha kazi yake duniani Magufuli yu nani mpaka asiombewe kwa Mungu? Tuzidi kumuombea tu, tutafika. Mafisadi yameshatimkia upande wa pili.
Tumuombee kwa lipi hasa?!
 
Back
Top Bottom