Hivi ni kweli hakuna msafi ndani ya CCM?

Nani mwenye kosa, anayegundua amezalisha mafisadi na kuyachinjia baharini au ananunuliwa na Fisadi aliyechinjiwa baharini?
Wewe endelea kuvuta subira kwani uteuzi wa watendaji wa vijiji unakuja
 
Mnatapatapa tu, hizo ni hoja mfilisi. Lowassa ndiye aliwajengea watu uwezo wa kuiba na wasichukuliwe hatua. Hizi zama za Dr. Magu mtasubiri sana, kwanza Rais anahakikisha anasambaratisha mtandao wa rushwa alioujenga Lowassa.
unamaanisha yule waziri wa awamu ya tatu na mwenzie waliokuwa wamehukumiwa kifungo walipewa uwezo na Lowassa? na wale wa escrow na epa pia? kumbe hapakuwa na rais wakati ule?pleeeease!
 
unamaanisha yule waziri wa awamu ya tatu na mwenzie waliokuwa wamehukumiwa kifungo walipewa uwezo na Lowassa? na wale wa escrow na epa pia? kumbe hapakuwa na rais wakati ule?pleeeease!
Mkuu huyo ni kati wa magimbi wa lumumba, hata ukimwelewesha vipi yupo kama jiwe la barafu habadiliki
 
Nani mwenye kosa, anayegundua amezalisha mafisadi na kuyachinjia baharini au ananunuliwa na Fisadi aliyechinjiwa baharini?
Taja mmoja mliemchinjia baharini ila utakapofikia kwa Chenge na Tibaijuka njoo upate bia
 
mkuu,tumeambiwa safari hii tunae Kiongozi ambaye ni chaguo la Mungu sio chaguo la ccm japo cha ajabu tunaambiwa tena tumuombee kwa Mungu huyo huyo aliyemchagua! tusubiri,pengine tutafikishwa kwenye ile nchi ya ahadi.
Hata Yesu alimuomba Mungu, sembuse mwanadamu
 
H
Ndugu zangu tusisahau tumefikishwa hapa na CCM. Tunalia ufisadi wakati CCM ndo inazalisha mafisadi na kuwakumbatia,tunalia rushwa wakati ni zao la CCM, tunalia rasilimali zetu kuporwa na wazungu wakati mshenga ni CCM.

Watanzania tumelogwa na nani? Kila uchafu anaolalamikia rais wetu anasahau kuwa ni zao la CCM! Inauma sana tunakuwa wasahaulifu na kumlaumu muumba wetu. Tubadilike Watanzania!!
ilo hata JPM analijua. Alituambia hivyo wakati wa kampeni.
 
Unao ushahidi? Au umesoma magazetini?
Alizifanya nini hizo nyumba? Nyumba ngapi?
Duh mkuu... mbona kama umepaniki flani hivii... ahahahahahahaaa haya bana...

Tatizo ni kubwa pale unapotaka kumfumga paka kengere wakati kengere yenyewe anayo peke kwenyewe.. kwanza una kazi kumnyang'anya halafu uuangaike kumfunga.... ni ishuuu...
 
Hapa ni wewe ndio unaonekana, unajionesha unapaniki. Kwa nini?
Unamwogopa "paka" kukufanya yale anamfanyia panya?
Zipo mtu ambazo hazina wasiwasi wala paniki, wanaua "nyani". Wenye ujasiri wanasema ukitaka kumuua nyani .......

Hizo "paka" ziambie ziangalie hii na wasikilize kwa makini. Wanaweza kujifanya na kuufanya wayatakayo lakini ujanja ni siku ya hukumu. Kwanza wengi kati ya "paka" wanamtania Mungu. Wanamwelewa Mungu ni nani?

mkuu,tumeambiwa safari hii tunae Kiongozi ambaye ni chaguo la Mungu sio chaguo la ccm japo cha ajabu tunaambiwa tena tumuombee kwa Mungu huyo huyo aliyemchagua! tusubiri,pengine tutafikishwa kwenye ile nchi ya ahadi.
Yohana mbatizaji alipokuwa gerezani aliwatuma watu wake kwa Yesu wamuulize yeye ndie
au wamsubiri mwengine. Hata nasi tumuulize JMP yeye ndie au tusubiri chuma kingine mbali na kile alichohaidi JK kipindi cha campaign.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom