Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 1,010
- 2,551
Mbona watumishi wa umma wana magari, je hizo halmashauri na zenyewe zinalipa sana?
Kama mtumishi wa umma mwenye mshahara usiozidi 1.5M anamiliki gari, kwanini wasanini wasimiliki?
Kama mtumishi wa umma anakopa, hata wasanini pia wanaweza kukopa kutimiza malengo yao