Hivi ni kweli filamu za bongo zinalipa?

Hivi ni kweli filamu za bongo zinalipa?

Maharo

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
3,530
Reaction score
2,641
Wanajamvi salaam

Leo katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii habari ya mbongo muvi mmoja kununua gari angalia picha chini

Swali langu ni je filamu za bongo zinalipa au ni showoff tu za wanatasnia hawa
Screenshot_20250713_235947_Instagram.jpg
huku nyuma ya pazia njaa tupu?
 
Wanajamvi salaam

Leo katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii habari ya mbongo muvi mmoja kununua gari angalia picha chini

Swali langu ni je filamu za bongo zinalipa au ni showoff tu za wanatasnia hawaView attachment 3405018 huku nyuma ya pazia njaa tupu?
Sio kivile.. Matangazo ya biashara na wengine uchawa ndio vinawabeba
 
Mleta uzi ungejiuliza swali rahisi sana. Wewe binafsi umewahi kununua filamu yoyote ya Bongo Movie?

Kama huja-wahi sasa nani huwa anazinunua hadi ziwape mafanikio hao waigizaji?

Umewahi kununua CD ya muziki wa mwananmuziki yeyote Tanzania?

Kama bado jiulize ni nani anannunua hadi wawe na mafanikia hayo?

Kajaribu usipotoboa utatobolewa.
 
Kwa kweli sijawahi na wala huwa siangalii
 
Mleta uzi ungejiuliza swali rahisi sana. Wewe binafsi umewahi kununua filamu yoyote ya Bongo Movie?

Kama huja-wahi sasa nani huwa anazinunua hadi ziwape mafanikio hao waigizaji?

Umewahi kununua CD ya muziki wa mwananmuziki yeyote Tanzania?

Kama bado jiulize ni nani anannunua hadi wawe na mafanikia hayo?

Kajaribu usipotoboa utatobolewa.
Tamthilia ya lamata leah ,juakali,imenunuliwa na DStv kwa zaidi ya Tsh1b,kurusha episode moja DStv producer unapata 5-13m, siku hizi hawatoi single movie ni series tu na zinawalipa,hasa DStv
 
Mleta uzi ungejiuliza swali rahisi sana. Wewe binafsi umewahi kununua filamu yoyote ya Bongo Movie?

Kama huja-wahi sasa nani huwa anazinunua hadi ziwape mafanikio hao waigizaji?

Umewahi kununua CD ya muziki wa mwananmuziki yeyote Tanzania?

Kama bado jiulize ni nani anannunua hadi wawe na mafanikia hayo?

Kajaribu usipotoboa utatobolewa.
Mkuu umetoa bonge la hoja. Wewe hununui jiulize nani huwa ananunua 😂😂😂
 
Wao DSTV wanalipwa kwa matangazo siyo filam
Tamthilia zinafanya ving'amuzi vilipiwe,kuna ving'amuzi laki unusu vya DStv tz,ukilipia 28k unaona tamthilia zote za tz,28k mara laki unusu ni bei gani wanaingiza kwa mwezi?
 
Sidhani kwansa hata tz kuna movie yenye bajet ya M200 uwekezaji.
nadhani haufahamu kwa sasa mambo yanavyoenda
ila nakusanua tu kwqnza tuanze jwenye YOUTUBE
zile filamu za seriez za BONGO MOVIE wanazorusha YOUTUBE kama wale kina CLAM VEVO na WENGINE
ambazo zinatamba huko YOUTUBE huwa zinawaingizia mapato kwa mwezi kuanzia milioni 5 10 na kuendelea hapo ni zile za Wasanii wa kawaida sana YOUTUBE
au unaweza sena ni low burget film Na pesa nyingi Karibu ya 70 % huishia kwenye PRODUCTION

ila zile zinazorushwa AZAM au DSTV
huwa zinawalipa sana kwa wasanii wa kubwa
kutokana na kuwa na gharama
hiyo milioni 200 kutengeneza SEASON 1 ni kawaida sana
7bu msanii mkubwa kwa SEASON 1 kwa filamu amabzao zinatamba anaweza kulipwa milioni 5 mpk 10 kwa season 1
tena kma msimu ukiwa moto filamu imehiti inafika hatua wanataka walipwe PER SCENE wasanii kwa msimu mwingine

DSTV ndio kampuni inalipa VINZURI filamu kuliko azam DSTV kulipa tshs 500mln kwa msimu mmoja wa SERIEZ sio shida kabisa
 
nadhani haufahamu kwa sasa mambo yanavyoenda
ila nakusanua tu kwqnza tuanze jwenye YOUTUBE
zile filamu za seriez za BONGO MOVIE wanazorusha YOUTUBE kama wale kina CLAM VEVO na WENGINE
qmbqzo zinatamba huwa zinawaingizia mapato kwa mwezi kuanzia milioni 5 10 na kuendelea hapo ni zile za qasanii wa kawaida sana youtube ma pesa nyingi huishia kwenye PRODUCTION

ila zile zinazorushwa AZAM DSTV
huwa zinawalipa sana kwa wasanii wa kubwa
kutokana na kuwa na gharama hiyo milioni 200 kutengeneza SEASON 1 ni kawaida sana
7bu msanii mkubwa kwa SEASON 1 kwa filamu amabzao zinatamba anaweza kulipwa milioni 5 mpk 10 kwa season 1
tena kma msimu ukiwa moto filamu imehiti inafika hatua wanataka walipwe PER SCENE wasanii
DSTV ndio kampuni inalipa VINZURI filamu kuliko azam DSTV kulipa tshs 500mln kwa msimu wa mmoja waSERIEZ sio shida kabisa
Wamekariri hao
 
Sawa nimeelewa mkuu
 
Lakini wasanii wana pesa sijui wanazitoa wapi?

Wewe na mimi hatulipii kusikiliza muziki wa Diamond, tuna usikiliza kwenye daladala lakini yeye anapesa nyingi jiulize anazitoa wapi?
Kwahiyo zile namba za youtube, spotify, apple music anasikiliza nani?
Tamasha anazofanya halipwi?
Ubalozi wa kampuni mbali mbali je?
 
Back
Top Bottom