Hivi ni kweli baadhi ya mimba inakujaga inakata milango ya ridhiki inabana mpaka pale mama atakapojifungua?

simba wa dodoma

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
925
1,010
Nimepata baadhi ushuhuda baadhi ya washkaji wakisema iliwaai kuwakuta mpaka wakafilisika ila baada ya mke wake kujifungua mambo yakaanza kwenda fresh mambo yakafunguka mara mbili zaidi yaa mwanzo.

Je, hii kitu ni kweli ushawai kukutana nacho tuambie ilikuawaje ilikuwaje
 
Nimepata baadhi ushuhuda baadhi ya washkaji wakisema iliwaai kuwakuta mpaka wakafilisika ila baada ya mke wake kujifungua mambo yakaanza kwenda fresh akaja mambo yakafungua mara mbili zaidi yaa mwanzo....
Je hii kitu ni kweli ushawai kukutana tupe ilikuwaje
Before my 1st born hajazaliwa sikuwa na kazi ila alivyozaliwa nikaitwa kwenye interview na nikaajiriwa hadi leo hii
 
Ukishaanza kuamini upuuzi huo, basi umekwisha.

Jirani yàngu ameumwa wakasema ni "upepo" umempitia hatakiwi kuonwa na mtu yeyote maana Kuna watu wamelala na wake zao, wako Kwenye siku zao hivyo wakimuona atakufa. Wakamficha effectively! Mgonjwa akakosa tiba amekufa.

Alinifia njiani nampeleka hospitali.

Sasa na wewe unakwenda huko . Stop that nonsense please
 
Ukishaanza kuamini upuuzi huo, basi umekwisha.
Jirani yàngu ameumwa wakasema ni "upepo" umempitia hatakiwi kuonwa na mtu yeyote maana Kuna watu wamelala na wake zao, wako Kwenye siku zao hivyo wakimuona atakufa. Wakamficha effectively! Mgonjwa akakosa tiba amekufa...
Kiongozi hii kitu kipo sio imani mimi nina mshakiji wangu mtoto wake wa pili kipindi cha ujazito aliuzaga hadi gari yake alikuwa mfanya biashara ila baada ya kujifungua tu mambo yaakanza kufunguka akawa anafata mizigo china mwenyewe haijakukuta ila ipo inahitaji uvumilivu sana
 
Mtoto anapozaliwa na riziki yake inapitia kwako so usikatae mtoto anakuja na baraka zake.
 
Nimepata baadhi ushuhuda baadhi ya washkaji wakisema iliwaai kuwakuta mpaka wakafilisika ila baada ya mke wake kujifungua mambo yakaanza kwenda fresh mambo yakafunguka mara mbili zaidi yaa mwanzo....
Je hii kitu ni kweli ushawai kukutana nacho tuambie ilikuawaje ilikuwaje
Riziki yako hahiishi mpaka umalize umri ulopangiwa na mola wako. Inachotokea hapa kati kati ni Mola wako kuipunguza (siyo kuikata hadi ufe njaa). kisha baadaye anarudisha. Na hii haijalishi una familia au msela. Wenye familia kubwa wapo wenye maghorofa na masela kibao wanalalia andazi maji
 
Acheni kusingizia Watoto,yaani ukiingia kwenye Ndoa kichwa kichwa ndio gundu linapoanzia.Nitaoa nikifikisha 75yrs and above.Na nisipofikisha huo umri,well fuvk it.
 
Riziki yako hahiishi mpaka umalize umri ulopangiwa na mola wako. Inachotokea hapa kati kati ni Mola wako kuipunguza (siyo kuikata hadi ufe njaa). kisha baadaye anarudisha. Na hii haijalishi una familia au msela. Wenye familia kubwa wapo wenye maghorofa na masela kibao wanalalia andazi maji
Kweli kabisa broh this fact nimekuelewa sana maana hata kama riziki yako imepunguza mungu awezi ukose chakula hahahahahaha kweli kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom