Hivi ni kweli anavyosema kipanya?

Hivi ni kweli anavyosema kipanya?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,742
kati ya kila Wanafunzi 10 wanane hawajuwi kuandika wala kusoma.......
kukojowa.jpg
 
Ni kweli kabisa mkuu. Na hipo amekadiria tu ila idadi inaweza kuwa kubwa kuliko aliyoitaja.



Nakuunga mkono mkuu, katika nilichokishuhudia mimi kwa macho yangu kati ya mwaka 2003 mpaka 2006 inawezekana kabisa kuwa wanaomaliza darasa la saba ni 4 tu kati ya kumi wanaojua kusoma na kuandika na hawa sita waliobaki mh..
 
jana niliingia kwenye kahoteli flani kupata chakula..! nilishangaa sana kwamba nilihudumiwa na dada ambae hajui kusoma wala kuandika..! nilishangaa sana sana kuwa karne hii ya i-phone wewe hujui kusoma... wala kuandika sasa wewe utakua mgeni wa nani..!?
 
Back
Top Bottom