ChatGPT imepata mtumiaji aisee 🤣🤣🤣Consider that there are some girls who think that the guys should pay for everything to be gentlemanly, but asking for money outright may be a sign that she is using you.
Sidhani kwa kweli, asilimia kubwa mwanamke wa sasa hana haja na mwanaume, kwamba wamejiweza na kuishinda asili.
Haja tunazo kaka ila tu tunananiliu.....Sidhani kwa kweli, asilimia kubwa mwanamke wa sasa hana haja na mwanaume, kwamba wamejiweza na kuishinda asili.
Nafikiri tuna budi kulaumu mfumo dume ambao uliwafanya wanaume kuwa walezi na wanawake. Mfumo huu unakua na mantiki tu katika jamii ambayo haija endelea, lakini jamii iliyostaarabika.... wanaume na wanawake wana fursa sawa za kiuchumi.Hapa na umiza kichwa sana, ni kwanini wanawake wanatuomba hela sipati majibu kabisa
Awe sio mkeo anaomba hela
Awe ni mkeo anataka hela
Awe ni rafiki wa kike anaomba hela
Awe ni mpenzi au mchumba anaomba hela
Awe hata ndo umetoka mtongoza anaomba hela
Ni kwanini basi wanawake wanatuomba hela sisi wanaume , hata akiwa na kazi atomba hela haijalishi ana hela nyingi bado ata omba na akiwa hana kazi ataimba hela na papuchi atatafuta namna akupe ili aendelee kukuchuna.
Je, ni kwanini?
Mmh!Haja tunazo kaka ila tu tunananiliu.....
Udhaifu huo broMh ukimtongoza akikuomba hela ujue hakutaki mkuu anatafuta kijisababu cha wewe kuondoka
Mimi dada yako mkuuUdhaifu huo bro
Pamoja na jibu la kutosha bado wataanzisha mada nyingine kuuliza 🤨Kwasababu mwanamke kaumbwa kutoka ubavuni kwako....anakutegemea dear, we mpe hela.
Yeeee baba......Mmh!
Kwa umri wangu nilionnao na niliyo ya shuhudia kama sio shida basi hakuna hata mwanamke mmoja angemsalia mwanaume, basi tu ni changamoto ndio zinasababisha mwanamke mmhitaji mwanaume, vinginevyo najua hata wewe unajua.
Tatizo sio waelewa....Pamoja na jibu la kutosha bado wataanzisha mada nyingine kuuliza 🤨
I'm so sorry ndugu yangu.Mimi dada yako mkuu
Hebu fafanua hapa wanaume tupone maana kuna wale hawaombi hela kabisa mwanzoni, unakuta hana time na hela zako kabisa ila anakuchanganya kukupenda na unaona kabisa hapa mtaenda the ndiyo anakuja kuomba hela baada ya week tatu au mwezi hii imekaaje dada yangu ?Mh ukimtongoza akikuomba hela ujue hakutaki mkuu anatafuta kijisababu cha wewe kuondoka
Jibu la kufunga Uzi hili.Kwasababu mwanamke kaumbwa kutoka ubavuni kwako....anakutegemea dear, usimuangushe we mpe hela.
Kwa sababu hauna akiliHapa na umiza kichwa sana, ni kwanini wanawake wanatuomba hela sipati majibu kabisa
Awe sio mkeo anaomba hela
Awe ni mkeo anataka hela
Awe ni rafiki wa kike anaomba hela
Awe ni mpenzi au mchumba anaomba hela
Awe hata ndo umetoka mtongoza anaomba hela
Ni kwanini basi wanawake wanatuomba hela sisi wanaume , hata akiwa na kazi atomba hela haijalishi ana hela nyingi bado ata omba na akiwa hana kazi ataimba hela na papuchi atatafuta namna akupe ili aendelee kukuchuna.
Je, ni kwanini?
Kesho mwambie aje kuchukua, kama atakuja kweli au laah.... utapigia msitari.Kuna lingine hapa nimekutana nalo jana kwenye event flan
Kosa kufahamiana na kubadilishana namba. Likaanza bro sina vocha, nikalipa gwala liweke vocha.
Leo asubuhi naamka nakuta miss call 2. Mara paap sms, bro nna shida ya alfu kumi naomba nisaidie.
Daah... Kuna midem ina njaa hadi kero!
Sometime hata km ni njaa wasijionyeshe sana.
Hata km ulikuwa na mpango nae lazima utoke Nduki