LAMBOFGOD
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 1,560
- 1,320
what if she loves me?If you really love her... u'll do anything for her!!!
https://www.jamiiforums.com/threads/kwanini-watu-huoa-na-kuolewa.1130894/page-4#post-18043055
what if she loves me?If you really love her... u'll do anything for her!!!
kama wamependana inakuaje wazazi wa kiume wasizae chema?Hiyo ni zawadi unawapa wazazi wazaa chema
kutoa mahali ni izo ni mila potofu tena kandamizi upande wa wanaumeMahari unatoa kama zawadi kwa wazazi ila mengi yapo kimila zaidi
Its true indeedMahari kwa generation zetu ni wastage of resources, hayana maana kama ilivyokuwa zamani. Nafananisha mahari na kukimbiza mwenge, total wastage of money.
mkuu jaribu kua upande wa mzazi au kaka wa dada anayeolewa ndo utaona umuhimu wa mahali..Mila za kizamani kwamba mwanamke ni kama object tu, ni kama kitu cha kuuzwa na kununuliwa na mwanaume, binafsi siungi mkono ishu za mahari
Mwanamke akimpenda mwanaume ameridhika naye waoane tu,
kama ni suala la kugharamikiwa na wazazi hadi akakuwa mbona wa kiume nao wanagharamikiwa na akioa familia ya mke haitoi kwa familia ya mume kwa sababu kijana wao msomi waliyemgharamikia anamuoa na kwenda kumtunza binti yao?
Sasa wazazi wa kiume si mnamchukua mrembookama wamependana inakuaje wazazi wa kiume wasizae chema?
Mila ngapi zimeachwa na nyingine zinapigwa vita, kwann hii inabaki wakati ni usumbufu na iansababisha kutweza utu wa mwanamke.Kama hujui maana ya mahari ni vema ukaendelea kujifunza zaidi na usichoke kuuliza hadi upate maana yake, lakini kuhitimisha kwamba haifai ni matokeo ya kutofahamu mila, desturi na utamaduni wako kwa jumla. Nchi au jamii zingine hakuna suala la mahari kwasababu mila, desturi zao ni tofauti na sisi, hivyo hawana sababu ya kuwa na mahari, lakini kwa sisi mahari bado ipo na itaendelea kuwepo sana tu.
Dada yangu aliolewa na kikao cha familia kilikubali aolewe bila mahali upande wa kiumeni wakakataaa na ndugu wengine wakakataa pia ikabidi ipangwe fedha ndogo iwezekanvyo.mkuu jaribu kua upande wa mzazi au kaka wa dada anayeolewa ndo utaona umuhimu wa mahali..
Sio kandamizi. Mwanamke akiolewa anahama kabisa nyumbani kwao. Hata wazazi waugue watauguzwa na watu wengine wakati Mimi nilipoolewa naenda kumlelea mama w mwanaumekutoa mahali ni izo ni mila potofu tena kandamizi upande wa wanaume
OVA
Mtani,baada ya kulalamikia sana vizinga naona sasa ni zamu ya mahari...Mahari kwa generation zetu ni wastage of resources, hayana maana kama ilivyokuwa zamani. Nafananisha mahari na kukimbiza mwenge, total wastage of money.
Mimi nimekuwa against mahari kwa mda sana mtani, wala sio wazo la leo aisee. Na nina sababu zangu, naona ni sababu za msingi sana.Mtani,baada ya kulalamikia sana vizinga naona sasa ni zamu ya mahari...
Msije mkasema nayo ni mizinga ya baba na mama mkwe.
Tuhamie room univwire nedho ..Mimi nimekuwa against mahari kwa mda sana mtani, wala sio wazo la leo aisee. Na nina sababu zangu, naona ni sababu za msingi sana.
Mind you, nililipa mahari bila kunung'unika lakini sipendi watu kulipishana mahari, ni sawa na huu mwenge tu...
sherehe nazo zahusika hapa? yanazungumzwa mahariSherehe za harusi jee?