Ni bingwa wa kunipiga vizinga ila kwenye show ni wa hovyo hanogi

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,329
4,852
Wakuu nimepata kamanzi kapya aka kazee ka vizinga asee hata kama mwanaume ni jukumu lake kumuhudumia mwanamke ila hiyi too much

Siku ya kwanza namtokea tu ilikuwa mchana jioni ananiomba kama efu70 hivi nikajitoa ufahamu nikampelekea japo hakusema hata asante nikaona sio kesi lengo kula mzigo

Nimekaa siku mbili naombwa pesa ya nguo kama laki hv na ujinga hapo kichwa kikastrokuu/nikajiuliza mwenyewe hapa kuna mapenzi kweli

Kumbukeni hapo sijala mzigo na penzi lina kama siku tatu tu toka nimtongoze
Nikasema hapana ngoja nijiongeeze nikamwambia mama sikia hela ipo ila sasa nipo nje ya mji kama vipi kesho tukutane sehem nikupatie ila jiandae mana na mimi nimemiss
Kukutafuna

Manzi ikakubali nikasema asante shetani siku ya pili nikawahi kuchukua chumba mapema guest hous

Nikajiandaa pale na ndomu zangu za kuzidi bila kusahau putulu
Lakini huku nikiwaza hivi napendwa kweli au nimtafune nijikatae maana lengo ilikuwa kuoa

Basi dem akanipigia simu hana hela ya boda nikatuma kahela ndani ya saa kadhaa dem huyo
Tumepiga stoli za hapa na pale kuja kutoa mzigo demu anagoma hataki nimshike tupo gest hapo

Nikajisemea kimoyo hivi sina nyota au hela yangu Kala na hapa alipo anataka hela nyingine na mzigo anagomea

Nikapata hasira nikawasha. Smartphone yangu weka headphone zangu masikioni nikawa na kula songs taratibu kupunguza hisia nisije kubaka mtu

Hapo hamna story wala nini ikapita nusu saa nikamwambia kama waona unachelewa tembea alafu nikaendelea na mambo yangu

Punde nakuta anajisogeza nikauchuna akanishika shika nikajipigia kagoli kamoja mana mzuka ulika hata mkongo nilioupaka

Ulighahili kufanya kazi nilivyo maliza show mbovu nikawa nafikiria nimpe hela alioniomba au niache
shetani akaniambia hapa hakuna kutoa hela
basi nikamsikiliza nikajifanya naongea na simu alafu nikamwambia ile hela ulioniomba kuna dharura imejitokeza naomba nikupatie kesho

Akakubali nikatoka nae nje nikaenda nilipo park mnyama wangu aka fisi
Dem akashangaa kumbe una gari nikamwambia nimeazimia ni ya broo mi choka mbaya tu hapa kumbe yangu

Bas Nikampelekea kwao nikamtia na teni basi nakuja jioni ananiambia piga uongee na mpenzi wangu kiukweli

Niliona kama kadharau fulani hivi afu ukicheki kajina na tuvipesa twa kubadili bia ninato
mwanaume
nikapiga nakuta jamaa anaongea
Mi ndio mpenzi wake basi tukawa tunaongea jamaa akambia kama ww kidume njoo home tumkaze wote
Nilishangaa
Kwa kuwa najiamini nikachukua baja langu kula koti kubwa nikatimba mitaani kwao alafu nikamstua Oya nimekuja fanya kutokea

Nimekaa dakika tatu msela akatokea na jamaa kama watatu hivi na yule binti nikasema sawa sawa ndio ninachotaka kuja kutaamakii huwezi amini kumbe ni mdogo wangu na huyo ndio dem wake ila sikuwahi kumfahamu kabla na mimi hanijui kama tuna undugu

Ila ndio hivyo madem mnaomba sana ila hamnogi
 
Unajisifu kutumia mkongo?? Nyie ndio wapumbavu mnaotutukanisha wanaume kila siku na kuonekana hatuwezi bila mkongo! Idiot.

Nampongeza huyo demu kula hela za mtu mjinga kama wewe, hongera kwake.
 
Pole mkuu ila siku nyingine usiwe mwepesi wa kutoa toa pesa haraka hivyo kwa demu ambaye ajakupenda, demu kama amekupenda wala haitaji garama hizo huyo alikua anataka kukuchuna tu.
 
Pole mkuu ila siku nyingine usiwe mwepesi wa kutoa toa pesa haraka hivyo kwa demu ambaye ajakupenda, demu kama amekupenda wala haitaji garama hizo huyo alikua anataka kukuchuna tu.
Nimepata kitu asante
 
Back
Top Bottom