Ukitaka kujibu tu........... mara net inakatika!.[/QUOTE]
.........
na hutaki ex akuone na new machine?very true....
mimi nikiongozana na mrembo tu..
lazima ntakutana na mrembo mwingine.most of time ni ex gf.
very true....
mimi nikiongozana na mrembo tu..
lazima ntakutana na mrembo mwingine.most of time ni ex gf.
Hivi ni kwanini ina kuwa hivyo? Jiulize haya
yanatutokea kila siku..
-----------------------------------------------------
LAW OF QUEUE:
Ukibadilisha mstari unapopanga foleni ule uliouacha
unakwenda mbio zaidi......haswa bank
-----------------------------------------------------
LAW OF TELEPHONE:
Namba unayopiga kwa makosa daima haipo bize (busy)....halafu inaingia kwa padre
-----------------------------------------------------
LAW OF MECHANICAL REPAIR:
Mikono yako inapokuwa michafu pua inaanza
kuwasha ili uikune
-----------------------------------------------------
LAW OF THE ALIBI:
Ukimdanganya bosi kuwa umechelewa kwa sababu gari
lako limepata pancha kesho yake utapata pancha kweli
-----------------------------------------------------
BATH THEOREM:
Ukishajitia maji tu simu itaanza kuita
-----------------------------------------------------
LAW OF ENCOUNTERS:
Uwezekano wa kuonekana na watu unaongezeka unapokuwa
na mtu unayetaka usionekane ukiwa nae.......😡
-----------------------------------------------------
LAW OF THE RESULT:
Unapojaribu kumueleza mtu kwamba mashine yako
imeharibika ukiwasha itafanya kazi
-----------------------------------------------------
LAW OF BIOMECHANICS:
Sehemu inayowasha mwilini huwasha zaidi pale
ambapo huwezi kujikuna
-----------------------------------------------------
THEATRE RULE:
Watu wanaokalia viti vizuri ndio wanaochelewa kufika
-----------------------------------------------------
LAW OF COFFEE:
Ukikaa tu ofisini na kuanza kunywa kahawa yako bosi
atakuita na kukuchelewesha mpaka kahawa yako ipoe.
Ama kweli MBUZI WA MASKINI HAZAI
Je ni kweli jamani?????????
na hutaki ex akuone na new machine?
au ww ni mzee wa post harvest!!
na hutaki ex akuone na new machine?
au ww ni mzee wa post harvest!!
-----------------------------------------------------
LAW OF BIOMECHANICS:
Sehemu inayowasha mwilini huwasha zaidi pale
ambapo huwezi kujikuna
-----------------------------------------------------
QUOTE]
hapo napo
Hapo kuna moja, huwa nikipata pesa tuu, next call ni mtu ananiomba pesa ana tatizo kubwa!