Hivi ni kwa wanawake wengi hawaamini kama waume zao anaweza ishiwa pesa?

mnyandzombe

JF-Expert Member
Jul 24, 2015
245
194
Habari za mida hii?? Namshukuru mwenyezi Mungu kwa kuni ruzuku uhai. Mara kadhaa nimeskia wanaume wenzangu wakilalamika kuwa wake zao hawaamini kabisa kuwa hawana hela katika kipindi chao cha maisha. Lakini pia nimesikia mara kadhaa wanawake wanasema ''mwanaume haishiwi pesa''.

Kwa utafiti wangu usiorasmi nimebaini kuwa wanaume wengi huishiwa fedha na pale wanapoambiwa kuwa haiwezekani mwanaume kuishiwa pesa imewapelekea kukopa zaidi ili kukidhi matakwa ya wake zao.

Enyi wanawake aminini kuwa waume zenu wanaweza kuishiwa hela

Wasalaam
 
Umeoa Jini Maimuna sio mke huyo
 
Tatizo ni wanaume sio wanawake, kama huna pesa, nunua maitaji unayoweza, wakishakula tu, hata kama ni uji, we endelea na Mambo mengine.
 
Mkiwa hamna hela muwahi kurudi nyumbani sasa, sio mnakesha baa halafu mnasema hamna hela.
Mwanaume akiwa hana hela anakaa nyumbani atoki na akitoka anawahi kurudi Nyumbani na kukaa sebleni
 
Hao wanawake wapewe semina elekezi, mbona mwanaume akiwa hana hela au anazo tabia tu zinajieleza.....😹
 
Back
Top Bottom