Hivi ni Kwa nini wanaume wanaweweseka?

Hivi ni Kwa nini wanaume wanaweweseka?

nashukuru mkuu kwa kunielewa hivyo itakuwa ni vyema ukawa gia ya kuwawashia namba 2 wengine
Pole ladyfurahia naona wameamua kukupotezea mi naona inaeleweka ila watu hawataki maneno mengi.
 
hahahaha umeona eeeh afu comment yangu siioni lol

mod wa sikuhizi ni noma yan sijaelewa nini kimefanyika hapa! Ile nataka kukoment tu nkapigwa kipeps! Kurudi kitu kimechange! hahaha mamaa ladyfurahia shukuru mungu jahazi limeokolewa!!
 
Last edited by a moderator:
mod wa sikuhizi ni noma yan sijaelewa nini kimefanyika hapa! Ile nataka kukoment tu nkapigwa kipeps! Kurudi kitu kimechange hahaha mamaa ladyfurahia shukuru mungu jahazi limeokolewa!!

kwi kwi kwi na mmu walivyo na munkari sijui ingekuwaje lol
 
Last edited by a moderator:
hahahahahhahahahaaaaaaaaaaa laiti ungejuaaa !!!!
mod wa sikuhizi ni noma yan sijaelewa nini kimefanyika hapa! Ile nataka kukoment tu nkapigwa kipeps! Kurudi naona mambo mapya! hahaha mamaa ladyfurahia shukuru mungu jahazi limeokolewa!!
 
Nilichonyaka ni hiki kitangazo hapa chini

Kwa anayehitaji huduma hizi:
WEDDING PLANNER
* Mc & hall/open space decoration- KARIBU
 
Wewe una afadhali, mie ndio huwa simwelewi kabisaaa. Anatumia labda lugha ya picha sana.

Nilifikiri ni mimi tu ndio napataga shida kumuelewa shostito.

Labda ujaribu kuwa unafupisha na kwenda straight kwa point. Najua waweza kuwa msimuliaji mzuri wa ana kwa ana.
 
ndugu yangu wala sio maombi basi tu wengine tumeaga kwetu
yani wewe!! Unahatari!! Haya bana!! Ungekuwa icu sahizi loh!!maombi yamekusaidia heheheeee!! Dah jf never boring !!
 
ameenda brazil ya manzese bestito si unajua mpira unaoneshwa usiku ameona akiwa kila siku anakuaga utamkatalia
dah tumemtafuta hadi kusinimagharibi haonekani!! Sijui kaenda Brazil??
 
Back
Top Bottom