mtaratibuuuuuu
Member
- Aug 17, 2009
- 60
- 4
Hivi inakuwaje mdada akiolewa tu kama alikuwa na marafiki wakiume wengi na ndo walikuwa karibu kuliko wadada mara nyingi wanapungua kama c kuisha kabisa,ila mwanaume akioa tena wadada ndo wanazidi na ndo wanakuwa karibu sana,je inamaana wanaume wanaogopa wake za watu na wanawake hawaogopi waume za watu?,