Hivi ni kosa kwa Rais au Mama Janeth kuomba msamaha hadharani?

accused

JF-Expert Member
Aug 7, 2015
2,496
2,743
Charity begins at home.
Rais katoa kauli ngumu na ya kuumiza kwa watoto wa masikini ,elihali mwanae akiwa katika kundi la waliofeli na kuingia chuo kikuu.
Magufuli anahubiri kua yeye ni mzalendo na mtaka haki kwa kila mmoja , mama Janeth anahubiri love kwa masikin na wasiojiweza.

UVCCM wanahubiri ovyo ovyo ili kumfurahisha Rais, liwe baya au jema wao ni kuunga mkono tu kisa kasema Rais.
Mimi simlaumu Jesca kwa kutokua na akili, kwani Mungu katuumba tofauti, nazilaumu kauli za babake na ukimya wa mama , lakini walimu wa UDOM ambao hata wanambeba Bint huyu kwa kufeli.

Nauliza, Magufuli wewe wajiita mzalendo, sasa ni kweli hujui mwenendo wa elimu ya bintiyo na hata uje uombe radhi kwa mamilion ya watanzania uliowaumiza kwa kauli zako UDSM juzi??
 
Nyie wote wahanga wa uchaguzi uliopita fisadi wenu mamvi kapigwa chini na siasa zenu za ukanda hatuwezi kuharibu nchi kuachia vilaza waje kutufundishia watoto wetu hapo situna ua elimu eti kisa kuna mtoto warais yupo Udom na div 4.
 
Kuendeleza kulialia kumtaka rais aombe radhi ni ukilaza maradufu, kutomwelewa magufuli kwa kauli zake ni ukilaza pia, huyo ndivyo alivyo na ndo maisha yake! Nakumbuka kipindi siku wanafunzi wanafunga shule pale alipokuwa anasoma jesca mwanae, jamaa alimpa buku akachukua mizigo yake akaweka kwenye gari akamuacha ili mtoto apande daladala! Unadhani anamtetea mwanae? Huo ndio ukilaza wa vijana mlio wengi!
 
Ni kweli mkuu ila anatakiwa achutame hata kidogo kuficha aibu hii. Afanye namna Jesca arud home kimya kimya ila isitangazwe. Ila Jesca kuendelea kua UDOM ni fedheha.

Naamini kabisa kuanzia sasa watu kama kina Mwanahabari Huru wataanza kutuletea hadi matokeo ya test za Jesca class.
Hawezi kufanya hivyo.Anaamini kuonba Radhi ni Udhaifu na hataogopwa tena.

Naona jina jipya nililombatiza Baba Jesca linazidi kupata Umaarufu kuliko ile shughuli aliyoenda kufanya pale UDSM.
 
Sasa tuambie basi kwanini wengine wameondoka na mwanae kabaki UDOM? Au Ndalichako na Kikula ndio wameamua Jesca abaki?
Kuendeleza kulialia kumtaka rais aombe radhi ni ukilaza maradufu, kutomwelewa magufuli kwa kauli zake ni ukilaza pia, huyo ndivyo alivyo na ndo maisha yake! Nakumbuka kipindi siku wanafunzi wanafunga shule pale alipokuwa anasoma jesca mwanae, jamaa alimpa buku akachukua mizigo yake akaweka kwenye gari akamuacha ili mtoto apande daladala! Unadhani anamtetea mwanae? Huo ndio ukilaza wa vijana mlio wengi!
 
Kuendeleza kulialia kumtaka rais aombe radhi ni ukilaza maradufu, kutomwelewa magufuli kwa kauli zake ni ukilaza pia, huyo ndivyo alivyo na ndo maisha yake! Nakumbuka kipindi siku wanafunzi wanafunga shule pale alipokuwa anasoma jesca mwanae, jamaa alimpa buku akachukua mizigo yake akaweka kwenye gari akamuacha ili mtoto apande daladala! Unadhani anamtetea mwanae? Huo ndio ukilaza wa vijana mlio wengi!
Asituletee udikteta wake hapa nchini,yy ndiye kilaza coz kaunga unga km mwanae.
 
MASWALI "FIKIRISHI" vs MASWALI "CHOKONOZI.!"

By Malisa GJ,

Rafiki yangu Comrade Rashid Chilumba kaniuliza maswali yaliyonitoa jasho kidogo. Maswali ya kufikirisha.

Katika kuchangia hoja ya binti anayedhaniwa kuwa ni mtoto wa Rais Magufuli aitwae "Jesca John Magufuli" Comrade Chilumba ameniuliza maswali kadhaa na kunitaka niweke ushahidi (Evidence) wakati nikijibu maswal hayo.

Sehemu ya maswal hayo Chilumba anauliza, Je huyo binti anayetajwa kwa jina la Jesca Magufuli ni mtoto wa Rais Magufuli kweli au ni mfanano wa majina? Kuna ushahidi wowote kuwa Magufuli ana mtoto aitwae Jesca? Kama yupo, je ana uhusiano na Jesca anayetajwa kusoma St.Mathew's?

Anahoji Chilumba na kuendelea; Je Jesca aliyedahiliwa UDOM na yule wa St.Mathew's ni mtu mmoja? Je hayo matokeo yanayodaiwa kuwa ni ya Jesca sio editing? Kwanini picha ya matokeo inayotembea mtandaoni ni moja tu?

Nimeyapenda maswali haya ya Chilumba kwa sababu yamenifanya "nifikirie sana" na mimi napenda kufikiria (Thinking is my hobby).

Maswali ya Chilumba yana mantiki sana kwa sababu jibu lolote kati ya maswali hayo linaweza kubadilisha mijadala yote inayoendelea mitandaoni kuhusu Jesca.

Kwa mfano swali la kwanza la Chilumba majibu yake yakiwa ni HAPANA basi yote tunayojadili huku mtandaoni ni bure. Yani kama Magufuli hana mtoto aitwae Jesca basi tunapoteza muda kujadili mambo ambayo ni "dhahania"

Na ikiwa jibu la kwanza litakua HAPANA basi hata hayo maswali mengine yaliyobaki yanakuwa hayana maana (yanakufa naturally). Huo ndio utamu wa critical thinking.

Kwa hiyo nimpongeze Comrade Chilumba kwa maswali haya mazuri ambayo yamedhihirisha kwamba alikua hasinzii kwenye vipindi vya Critical Thinking vya mwalimu wake Crispin Isaboke.

#MAJIBU
Nimefanya utafiti kidogo na kupata majibu ya maswali ya ndugu Chilumba. Nami napenda kuyajibu kama ifuatavyo kwa kuambatanisha na evidence kama alivyohitaji;

1. #SwaliLaKwanza
Je Rais Magufuli ana mtoto aitwae Jesca John Magufuli?

#JIBU
Ndio. Jesca John Magufuli ni mtoto wa kuzaliwa wa Mhe.Rais John Magufuli na mkewe Janeth Magufuli. Rais Magufuli ana watoto 7. Watatu wa kiume na wanne wa kike.

#Evidence
Katika orodha ya kuzaliwa Jesca ni mtoto wa 4. Watoto wengine wa Rais Magufuli ni kama ifuatavyo;

1. Suzzan John Magufuli
2. Edna John Magufuli
3. Joseph John Magufuli
4. Jesca John Magufuli
5. Lucy John Magufuli
6. Jurgen John Magufuli
7. Jerry John Magufuli

#EvidenceNunber2
Tembelea anuani hii ya Ikulu kufahamu zaidi juu ya familia ya Rais Magufuli na familia yake, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Rais

2. #SwaliLaPili
Je Jesca ambaye ni mtoto wa Rais Magufuli amesoma sekondari ya St.Mathew kwa kipindi tajwa?

#JIBU
Ndio. Jesca John Magufuli binti wa Mheshimiwa Rais Magufuli amesoma sekondari ya St.Mathew na kuhitimu kidato cha 4 mwaka 2011.

#Evidence,
Mkurugenzi wa shule hiyo Bw.Thadeo Mutembei anaweza kudhibitisha hilo. Unaweza kumpigia kupitia simu yake nambari 0754 698845.

3. #SwaliLaTatu
Je, Jesca Magufuli aliyepata division four ya alama 30 ndiye huyo mtoto wa Rais Magufuli? (Au ni mwingine).

#JIBU
Ndiye huyo.

#Evidence;
Hakukuwa na Jesca Magufuli wawili katika sekondari ya St.Mathew.

4. #SwaliLaNne
Je matokeo yanayosambazwa mitandaoni kwamba ni ya Jesca ni matokeo halisi au ni photoshop?

#JIBU
Ni matokeo halisi, hakuna photoshop wala editing.

#Evidence
ingia kwenye website hii utaona matokeo yote ya sekondari ya St.Mathew's kwa mwaka 2012 na utaona jina la Jesca katika orodha hiyo. Nambari yake ya mtihani ilikua S.1071/102 http://196.44.162.33/necta2011/CSEE 2011/s1071.htm

#SwaliLaTano
Je ni kweli kuna mtu aitwae Jesca Magufuli alidahiliwa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) mwaka 2014 kusomea shahada (degree) ya biashara ktk Rasilimali watu?? (Bachelor of Commerce in Hunan Resource Management).??

#JIBU
Ndio. Mwaka 2014 miongoni mwa wanafunzi waliodahiliwa kujiunga na Cho Kikuu cha Dodoma ni binti mmoja aliyejulikana kwa jina la Jesca John Magufuli.

#Evidence
Ingia kwenye website hii kisha tafuta Admisdion number 230. Pitia hapa http://41.93.31.136:8080/Selections/UnderGraduate.jsp?InstCode=DM

6. #SwaliLaSita
Je, Jesca Magufuli aliyedahiliwa UDOM mwaka 2014 ndio yule Jesca aliyemaliza St.Mathew's mwaka 2011 ambaye ni mtoto wa Rais Magufuli.

#JIBU
Ndiyo. Jesca anayesoma UDOM ndiye Jesca yuleyule aliyemaliza kidato cha 4 mwaka 2011 sekondari ya St.Mathew ambaye pia ni mtoto wa Rais Magufuli.

#Evidence
Unaweza kumpigia Mkuu wa Chuo cha UDOM Prof.Idrisa Kikula kudhibitisha kama kweli Jesca Magufuli aliyepo chuoni hapo ndiye yule binti wa Mheshimiwa Rais Magufuli. Namba ya Prof.Kikula ni 078 455 5655.

#HITIMISHO
Comrade Chilumba nafikiri nimekujibu maswali yako yote kama ulivyoniuliza. Na nimejitahidi kukupa evidence kama ulivyonitaka kufanya hivyo.

Sasa nakuomba na wewe unisaidie vimaswali vyangu vidogo kama ifuatavyo;

1. Hivi ilikuaje Jesca akasoma degree wakati alipata Division four ya point 30?

2. Je ana foundation course yoyote labda Diploma? Kama anayo amesomea chuo gani? Na aliwezaje kupata diloma ndani ya miaka miwili? Ina maana hakusoma certificate?

3. Na ilikuaje Udahili wake wa UDOM ukapitia NACTE wakati muongozo wa NACTE wa mwaka 2005 unazuia vyuo vilivyopo chini yake kudahili wanafunzi wenye alama chini ya 28?? Yeye ana 30 alidahiliwaje?

4. Amewezaje kusoma Bachelor of Commerce wakati somo la Commerce alipata "F" kidato cha 4??

5. Kwanini Serikali ilipotimua wale "Vilaza" (Form four failures) waliokua wamejazana vyuo mbalimnali kikiwemo St.Joseph, mbona hawakushughulika na Jesca? Je yeye ana "immunity??"

6. Je kauli ya Mheshimiwa Rais wetu mpendwa JPM kwamba kuna watoto wa vigogo waliofeli form four wamejazana vyuo vikuu na kuziba nafasi kwa watoto wa maskini wenye sifa na vigezo, je haimlengi Jesca? Hasa ukizingatia kuwa yeye ndiye mtoto wa kigogo mkubwa zaidi nchini? (Mtoto wa Mheshimiwa zaidi). Kama haimlengi Jesca ilikua inalenga akina nani?

Tafadhali Comrade nisaidie majibu ya viswali vyangu hivyo hapo juu. Naamini viswali vyangu hivi sio vigumu kama maswali yako ya Critical Thinking.

Wasalaam,

Malisa Godlisten E.J
 
Na madhara ya kuunga unga elimu hadi unafikia kwenye udokta ndio haya, kwenye mikutano ya nje mtu unakomaa na Catalyst tu.

Yaani kale kabinti ka Mwanza (Gertrude Clemence"" ana confidence kwenye jukwaa kuliko viongozi wetu wa juu wa awamu hii.

Magu lazima akiri kukosea katika matusi haya.

Tafadhali Comrade nisaidie majibu ya viswali vyangu hivyo hapo juu. Naamini viswali vyangu hivi sio vigumu kama
maswali yako ya Critical Thinking.

Duh hapa nimenyoosha mikono juu. Hii ilitakiwa iwe na uzi wake peke yake.
Naomba ufanye hivyo.

Wasalaam,

Malisa Godlisten E.J
 
Si mlituita wenyewe? Haya tumekubali wito na kuja ili kuongeza idadi ya waalimu umenichagua leo nimekuwa kilaza? after all hawakufeli walifaulu masomo ya sayansi ndo maana wakachaguliwa kujiunga na hiyo programme maalumu.
Kama hawastaili kuwa UDOM basi watafutiwe vyuo vingine kama vya cheti cha ualimu ambavyo nina imani vitachukua wote maana cheti cha ualimu huwa kinachukua minimum div 4 ya 27, na hao wanafunzi sidhani kama kuna mwenye points chini ya hizo.Na hata sisi tumefundishwa na waalimu wenye qualifications za form four kama hizo na ndo ulikuwa utaratibu wa serikali....sasa tunaweza hitmisha kuwa waalimu wote waloingia vyuo vya ualimu kipindi cha nyuma kwa div 3,na 4 ni vilaza?? Mi siamini katika hilo.Hawa wanafunzi sio vilaza ila wamefaulu kwa kiwango chao kinachoweza waruhusu kusoma course zingine .
 
Hawezi kufanya hivyo.Anaamini kuonba Radhi ni Udhaifu na hataogopwa tena.

Naona jina jipya nililombatiza Baba Jesca linazidi kupata Umaarufu kuliko ile shughuli aliyoenda kufanya pale UDSM.
Aombe radhi sababu gani? Kwani kakataa kua mwanae si kilaza?Wabunge wa CHADEMA wamesema mara nyingi sana kua elim ya tz inatoa wanafunz vilaza mbna haikuwah kuleta mjadala? Mmeacha kujadili hoja ya msingi sasa mnakimbilia neno kilaza,
 
Issue siyo ukilaza mkuu, issue ni Jesca nae atimuliwe
Umeisikiliza hotuba yake? Alisema watt wa wakubwa wapo sidhan km hajui na mwanae pia yupo, pili niulize swali jesca kamaliza form4 2011, degree kadahiliwa 2014 hapo kati alikua wapi?
 
Mkuu usiwe tu mbishi bila facts, rudi juu utaona alichokiandika Malisa Godlisten. Ni jibu tosha kwa swali lako.
Umeisikiliza hotuba yake? Alisema watt wa wakubwa wapo sidhan km hajui na mwanae pia yupo, pili niulize swali jesca kamaliza form4 2011, degree kadahiliwa 2014 hapo kati alikua wapi?
 
Kuendeleza kulialia kumtaka rais aombe radhi ni ukilaza maradufu, kutomwelewa magufuli kwa kauli zake ni ukilaza pia, huyo ndivyo alivyo na ndo maisha yake! Nakumbuka kipindi siku wanafunzi wanafunga shule pale alipokuwa anasoma jesca mwanae, jamaa alimpa buku akachukua mizigo yake akaweka kwenye gari akamuacha ili mtoto apande daladala! Unadhani anamtetea mwanae? Huo ndio ukilaza wa vijana mlio wengi!

Acha uongo wewe! Kuna uzi humu unauliza kwa nini hakai hostel ya Chuo bali anaishi Ikulu ya Chamwino na kupelekwa chuo kila siku na gari ya serikali?
 
Back
Top Bottom