madhabaunyeusinyeusi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 200
- 95
Wanawake wana huruma ya asili wao sindio walimuonea huruma baba yetu adamu ale lile tunda ili aokoe njaa yake
Joanah mrembo,nafikiri hujawahi kumpenda mwanaume au?ukimpenda hutamwacha hata awe malaya kiasi gani mamii.Msamaha wa usaliti huwa siukubali
Kwa usaliti naachaJoanah mrembo,nafikiri hujawahi kumpenda mwanaume au?ukimpenda hutamwacha hata awe malaya kiasi gani mamii.
Mungu anakuonaaaaMsamaha wa usaliti huwa siukubali
HahahahMungu anakuonaaaa
Mrembo,usaliti ni kama ajali tu,hata wewe unaweza kupata ajali ukaliwa na house boy,sababu hisia ni asili kwa mwanadamu,unaweza kufanya ngono bila kujitambua mamii na baada ya hapo ukajuta au vipi?,so mwanaume ni binaadamu anaweza kukutana na mishikaki inachomwa na inanukia vizuri saaaana,atatamani hasa akifikiria hiyo mishikaki ikiliwa na kachumbari ya chachandu,daah mara anajikuta anaagiza mitano na soda baridiiiiiiiii,akimaliza kuila ndio atasikia pilipili inavyowasha mdomoni,hapo na machozi yatamtoka au vipi? basi umsamehe tu ,kwani ni ibilisi au pepo la kisiwa cha mashetani cha MAYUKU.Kwa usaliti naacha
Binaadamu hutafautiana kwenye mapenzi, kuna wengine huwa vipofu na wengine huwa viziwi kwenye mapenzi. Nakubaliana na hoja yakoMkuu labda wewe na wengine ila sio mwanaume mimi.
Niwe na mke mmoja amekuwa Mama angu? AlaaaaaaaahWanajamvi
Heri ya mwaka mpya 2017.
Kuna jambo limekuwa likinisumbua sana akilini mwangu. Kwenye suala la mapenzi na ndoa,kuna hili jambo la fumanizi linapotokea kati ya mwanaume na mwanamke na uamzi unaochukuliwa kwa pande zote mbili.
-Wanawake: Mwanamke anaweza kuwa na mume,mchumba au mpnz. Ktk uhusiano wao anaweza kuwa anashuhudia dalili za kusalitiwa kwa hata 80%,anaweza kukuta sms za wapenzi kwa mwenza wake,au mazingira mengine. Akijaribu kuhoji atapewa uongo wawazi kabisa lkn atauamini na kuendelea na penzi lake.
Anaweza kufumania kabisa mtu wake akiwa kitandani na mtu wake tena kitanda kilekile anacholala yeye anapokuwepo. Atalia hata kuzimia lkn baadae ataanza kujipendekeza na hata kuapa kupigania penzi lake hata km dalili zote zinaonyesha yeye hatakiwi. Hapa ndo najiuliza huwa kuna nini kichwani mwa wanawake!!?
-Wanaume: Mwanaume akiwa ktk uhusiano na mke,mchumba au mpnz na ikatokea kafumania hata sms tu ya mwenza wake ikionyesha akijihusisha na mtu mwingine hali huwa ni mbaya sana!
Mwamke atajitahidi kujieleza lkn kueleweka huwa ni ngumu sana na mara nyingi uhusiano hufikia tamati. Hata ikitokea wakaendelea lkn hilo hubakia tusi kwa mwanamke. Atatukanwa kila aina ya tusi kuonyesha jinsi alivyo malaya..!!
Wanajamvi kwa nn kunakuwa na hii mitizamo isiyolingana!!? Hivi ni vigumu sana kwa wadada kuwaacha wapenzi wao hata wakiwa na idadi kubwa ya michepuko!!?
Na kwa nn wanaume hawana uwezo wa kusamehe wakifumania hata km na yeye alishafumaniwa akasamehewa!!??
Nawasilisha..
Ha hahahhhMrembo,usaliti ni kama ajali tu,hata wewe unaweza kupata ajali ukaliwa na house boy,sababu hisia ni asili kwa mwanadamu,unaweza kufanya ngono bila kujitambua mamii na baada ya hapo ukajuta au vipi?,so mwanaume ni binaadamu anaweza kukutana na mishikaki inachomwa na inanukia vizuri saaaana,atatamani hasa akifikiria hiyo mishikaki ikiliwa na kachumbari ya chachandu,daah mara anajikuta anaagiza mitano na soda baridiiiiiiiii,akimaliza kuila ndio atasikia pilipili inavyowasha mdomoni,hapo na machozi yatamtoka au vipi? basi umsamehe tu ,kwani ni ibilisi au pepo la kisiwa cha mashetani cha MAYUKU.
Sio hivo mrembo,ni fact nakupa,mimi nimekuwa na mahusiano mengi saaana tena saaana na mabinti na wanawake weeengi tofauti tofauti under the sun,ingawa umri wangu ni mdogo ila naweza kusema nimesoma kwa juhudi kubwa kuhusu miili ya gender hizi mbili,yaani SHE na HE,binaadamu yeyote yule awe mwanaume au mwanamke,wanapopata hisia za kufanya mapenzi ,i mean kutokana na lishe tofauti tofauti ambazo hupelekea kuwa catalyst ya kuwawehusha au kuwapa mzuka fulani ambao haulezeki kabisa ila mpaka yakukute wewe binafsi katika matamanio hayo,hapo utaelewa mzuka,ashki,nyege,umajinuni wa kuingiliwa,umajinuni wa kumwingilia mwanamke,ajizi ya nyege,baaaasi hapo utajua kwa nini mwanamke au mwanaume anabaka,upo hapo?Ha hahahhh
You're crazy asee
Baby ukitulia ukanisoma vizuri utajua what i mean.Ha hahahhh
You're crazy asee
Una maneno aseeSio hivo mrembo,ni fact nakupa,mimi nimekuwa na mahusiano mengi saaana tena saaana na mabinti na wanawake weeengi tofauti tofauti under the sun,ingawa umri wangu ni mdogo ila naweza kusema nimesoma kwa juhudi kubwa kuhusu miili ya gender hizi mbili,yaani SHE na HE,binaadamu yeyote yule awe mwanaume au mwanamke,wanapopata hisia za kufanya mapenzi ,i mean kutokana na lishe tofauti tofauti ambazo hupelekea kuwa catalyst ya kuwawehusha au kuwapa mzuka fulani ambao haulezeki kabisa ila mpaka yakukute wewe binafsi katika matamanio hayo,hapo utaelewa mzuka,ashki,nyege,umajinuni wa kuingiliwa,umajinuni wa kumwingilia mwanamke,ajizi ya nyege,baaaasi hapo utajua kwa nini mwanamke au mwanaume anabaka,upo hapo?
Mrenbo, ni taaluma kama taaluma zingine baby,najitahidi ku send message across.Ha hahahhh
You're crazy asee
Kiasi fulani mamii,ila hata kama una kitu kinakusumbua na hupati jibu,basi Karanja will always be there to make you stress free,trust me,nimewapa wanawake wengi counseling na wamenishukuru kwa tiba ya maneno tu,na mpaka leo wanafurahia maisha yao kama si mapenzi yao.Una maneno asee
Upo hapo?,au nikujie pm nikupe siri ya kuwainamisha wanaume au vipi?Una maneno asee