Hivi ni huruma tu ya wanawake au kuna tatizo la ziada?

Una maneno asee
Usijali mrembo,nitakuangalia kwa raha na tabu,usikonde au vipi?,najua dawa yenu warembo,hasa pale ngozi au vipodozi vinapogoma,au hali ya chango la tumbo au mahaba yakigoma kwa umpendae,au kama kuna demu mwenzio unamuhusudu na unataka kumpiku,au kama kuna mtu anakufanya ukose raha baby,awe mwanamke au mwanaume,wewe njoo unishitakie,mimi nitamaliza shida hiyo in minutes au vipi?,sitanii,coz mimi nina MYSTIC POWER, pia nina magnifique power of resolution at a certain time,so kama kuna tatizo la outer power zilizojificha,basi njoo kwangu nitalitatua,tena nitaita zile spiritual xenon powers zenye kumulika into hidden charms na divines zoote ambazo wabaya au mamajusi huzitumia kudhuru watu toka enzi za Jesus of Nazareth,naahidi nitajivunda na kujivinjia ndani ya nguvu hizo,nitazikatili nguvu za giza mpaka nimkamate mwana Karneza anaezipa nguvu hizo nguvu(positive) energy,nitahakakisha Karneza anasalimu AMRI na kuzizima hizo nguvu za giza ili wewe Joannah uwe huru,.,.,.AMEEEEEN.
 
Hapa kwa kweli kuna kitu kama ambacho huwa nakiona sehemu za sheria, kuwa Hakimu au jaji hakosei bali hata kama kakosea hupaswi kumwambia kakosea ila unapaswa kumbembeleza kwa kauli hii "mh Hakimu sheria imekuongoza vibaya" nawaki yeye ndiye kakosea, hivo na mwanaume anaamini kuwa hakosei bali anahaki ya kufanya atakalo coz ni mwanaume. But huwa tunawakosea sana wakina Dada
 
Tatizo wanawake wanapenda ila wanaume wanatamani.

Mwanaume unaweza kufanya mapenzi na mtu usiempenda hata kidogo ilimradi tu kaja 18 zako na baada ya hapo mkimaliza hujengi feelings kwake hata kidogo.

Ila wanawake mara nyingi ama mara zote hufanya mapenzi na wanaowapenda ama hata kama hawawapendi baada ya tendo feelings zinajengeka kidogokidogo ilimradi asiwe kambaka.

Mwanaume unaweza kuwa na wanawake hata 10 ila ukampenda mmoja tu na wala mwenziwakobasione tofauti, ila mwanamke akiwa na mchepuko kubalance ni ngumu lazma achague side na hapo kushtukiwa ni rahisi

Thats why rahisi kwa mwanamke kusamehe kuliko mwanaume kusamehe
kama nakuelewa hivi...
 
Wanaume tumeumbwa kutamani... Wanawake waumbwa kupenda... Mwanaume anaweza kusaliti kwa sababu tu kategwa na ili asionekane mdhaifu anajikuta anasaliti... Tofauti na mwanamke... Mwanamke akiamua kusaliti kampenda huyo mtu... hapo ndiyo shida inapoanzia... Hata akiomba msamaha atarudia tena tuu kwa sababu kapenda...
 
Tatizo wanawake wanapenda ila wanaume wanatamani.

Mwanaume unaweza kufanya mapenzi na mtu usiempenda hata kidogo ilimradi tu kaja 18 zako na baada ya hapo mkimaliza hujengi feelings kwake hata kidogo.

Ila wanawake mara nyingi ama mara zote hufanya mapenzi na wanaowapenda ama hata kama hawawapendi baada ya tendo feelings zinajengeka kidogokidogo ilimradi asiwe kambaka.

Mwanaume unaweza kuwa na wanawake hata 10 ila ukampenda mmoja tu na wala mwenziwakobasione tofauti, ila mwanamke akiwa na mchepuko kubalance ni ngumu lazma achague side na hapo kushtukiwa ni rahisi

Thats why rahisi kwa mwanamke kusamehe kuliko mwanaume kusamehe
Nadhani hapa ndo kwenye tatizo nililoonyesha hapo kwenye mada yangu. Umechangia vizuri sana mkuu. Km mwanamke anapenda na hawezi ku-balance kwa watu zaidi ya mmoja ndo maana wanagundulika kwa nn sasa anaamua kuanzisha uhusiano mpya huku akijua ni vigumu kumuacha aliyekuwa nae!!?? Kwa mfano;unakutana na mwanamke unaongea nae mnakubaliana,anakueleza jinsi alivyotendwa ktk uhusiano wake wa awali kabla ya wewe,unamhurumia sana na kumuahidi kumpa furaha.

Kweli unamfanya atabasamu tena! Lkn siku chache baadae unaanza kukutana chatting kati yake na huyo aliyemtenda..! Unajiuliza huyu mtu ana matatizo gani?? Yaani ulimkuta mwenye huzuni,mtu wa kulia na ukafanyakazi kubwa kumfanya awe mwenye amani. Hali ya amani inaporejea tena ktk kipindi ambacho wewe pia unafurahia uhusiano wenu,yeye anaanza kukumbuka alikotoka!!!!

Tofauti na mwanaume akisema yule nilimfumania siwezi hata kumtamani tena huwa anamaanisha! Hebu tusaidiane hapa mkuu!!
 
Huu usawa kati ya mwanamke na mwanaume mnatoa wapi kariba hii?
Mkuu huenda umeelewa tofauti,sijasema mwanaume na mwanamke wapo sawa,lkn nimejaribu kuonyesha tofauti zao za maamuzi ktk mapenzi kwa kesi ya kufumania..sijui umeelewa mkuu!!!?
 
Nimekuelewa vizur mno ila jaribu kusoma katikati ya mistari uliyoandika utaelewa nilichokisema
 
Mwanamke akikusamehe kirahisi ogopa sana, pia fanya uchunguzi. Anaweza akawa anakulia timing akumalizie mbali au ana mtu wake wa karibu wa kumliwaza.
 
Mwanamke akikusamehe kirahisi ogopa sana, pia fanya uchunguzi. Anaweza akawa anakulia timing akumalizie mbali au ana mtu wake wa karibu wa kumliwaza.
Sasa mkuu km ameshapata mtu wake wa kumliwaza huku alikotoka anarudi kufanya nini!!? Kwa nn asibaki kuimarisha penzi lake jipya!!??
 
Mwanaume akipata mwanamke mtundu kitandani huwa hana maneno. Hata ajuwe mwanamke wake ana gegedwa basi hubaki kuumia moyoni tu.
Kwa Mwanamke akipata mwanaume mtundu kitandani pia awe na pesa na anampenda. Hawezi kufanya lolote hata akiwa mwanaume wake anatembea na shoga yake. Hubakia kumnunia shoga yake lakini tamaa yake na utamu wa mgegedo ndio vilivyo mponza.
Mimi huwa nasamehe usaliti ila mapenzi ndo yanakuwa yameishia hapo tunabaki marafiki tu hakuna haja ya kuwa maadui
 
Back
Top Bottom