Hivi ni huruma tu ya wanawake au kuna tatizo la ziada?

Mkuu WANAWAKE wengi huona wakiacha /kuvunja ndoa zao na ukute tayar ana watoto maisha yanakuwa kidogo shida kwa wasio na kazi na kwa wale wenye vipato huona pia kuoelewa tena ni kazi ukiachika una watoto pia hujishushia heshima kwa Jamie inayomzunguka japo kosa liliganywa na mume. But mwanaume akitangaz kutafuta mchumba hata ana miaka 70 watafurika tu bila kujali umri, idadi ya watoto ama wajukuu
 
wanasamehe nn mwanaume yupo hivo suleiman wake wangap na wa pembeni wangapi? wao wameumbwa hivyo kutumikia mwanaume mmoja tu na mwanaume kutumia mke mmoja huko ni kujipunja
 
Kwa usaliti naacha
Mrembo,usaliti ni kama ajali tu,hata wewe unaweza kupata ajali ukaliwa na house boy,sababu hisia ni asili kwa mwanadamu,unaweza kufanya ngono bila kujitambua mamii na baada ya hapo ukajuta au vipi?,so mwanaume ni binaadamu anaweza kukutana na mishikaki inachomwa na inanukia vizuri saaaana,atatamani hasa akifikiria hiyo mishikaki ikiliwa na kachumbari ya chachandu,daah mara anajikuta anaagiza mitano na soda baridiiiiiiiii,akimaliza kuila ndio atasikia pilipili inavyowasha mdomoni,hapo na machozi yatamtoka au vipi? basi umsamehe tu ,kwani ni ibilisi au pepo la kisiwa cha mashetani cha MAYUKU.
 
Wanajamvi
Heri ya mwaka mpya 2017.

Kuna jambo limekuwa likinisumbua sana akilini mwangu. Kwenye suala la mapenzi na ndoa,kuna hili jambo la fumanizi linapotokea kati ya mwanaume na mwanamke na uamzi unaochukuliwa kwa pande zote mbili.

-Wanawake: Mwanamke anaweza kuwa na mume,mchumba au mpnz. Ktk uhusiano wao anaweza kuwa anashuhudia dalili za kusalitiwa kwa hata 80%,anaweza kukuta sms za wapenzi kwa mwenza wake,au mazingira mengine. Akijaribu kuhoji atapewa uongo wawazi kabisa lkn atauamini na kuendelea na penzi lake.

Anaweza kufumania kabisa mtu wake akiwa kitandani na mtu wake tena kitanda kilekile anacholala yeye anapokuwepo. Atalia hata kuzimia lkn baadae ataanza kujipendekeza na hata kuapa kupigania penzi lake hata km dalili zote zinaonyesha yeye hatakiwi. Hapa ndo najiuliza huwa kuna nini kichwani mwa wanawake!!?

-Wanaume: Mwanaume akiwa ktk uhusiano na mke,mchumba au mpnz na ikatokea kafumania hata sms tu ya mwenza wake ikionyesha akijihusisha na mtu mwingine hali huwa ni mbaya sana!

Mwamke atajitahidi kujieleza lkn kueleweka huwa ni ngumu sana na mara nyingi uhusiano hufikia tamati. Hata ikitokea wakaendelea lkn hilo hubakia tusi kwa mwanamke. Atatukanwa kila aina ya tusi kuonyesha jinsi alivyo malaya..!!

Wanajamvi kwa nn kunakuwa na hii mitizamo isiyolingana!!? Hivi ni vigumu sana kwa wadada kuwaacha wapenzi wao hata wakiwa na idadi kubwa ya michepuko!!?
Na kwa nn wanaume hawana uwezo wa kusamehe wakifumania hata km na yeye alishafumaniwa akasamehewa!!??

Nawasilisha..
Niwe na mke mmoja amekuwa Mama angu? Alaaaaaaaah
 
Mrembo,usaliti ni kama ajali tu,hata wewe unaweza kupata ajali ukaliwa na house boy,sababu hisia ni asili kwa mwanadamu,unaweza kufanya ngono bila kujitambua mamii na baada ya hapo ukajuta au vipi?,so mwanaume ni binaadamu anaweza kukutana na mishikaki inachomwa na inanukia vizuri saaaana,atatamani hasa akifikiria hiyo mishikaki ikiliwa na kachumbari ya chachandu,daah mara anajikuta anaagiza mitano na soda baridiiiiiiiii,akimaliza kuila ndio atasikia pilipili inavyowasha mdomoni,hapo na machozi yatamtoka au vipi? basi umsamehe tu ,kwani ni ibilisi au pepo la kisiwa cha mashetani cha MAYUKU.
Ha hahahhh
You're crazy asee
 
Tatizo wanawake wanapenda ila wanaume wanatamani.

Mwanaume unaweza kufanya mapenzi na mtu usiempenda hata kidogo ilimradi tu kaja 18 zako na baada ya hapo mkimaliza hujengi feelings kwake hata kidogo.

Ila wanawake mara nyingi ama mara zote hufanya mapenzi na wanaowapenda ama hata kama hawawapendi baada ya tendo feelings zinajengeka kidogokidogo ilimradi asiwe kambaka.

Mwanaume unaweza kuwa na wanawake hata 10 ila ukampenda mmoja tu na wala mwenziwakobasione tofauti, ila mwanamke akiwa na mchepuko kubalance ni ngumu lazma achague side na hapo kushtukiwa ni rahisi

Thats why rahisi kwa mwanamke kusamehe kuliko mwanaume kusamehe
 
Ha hahahhh
You're crazy asee
Sio hivo mrembo,ni fact nakupa,mimi nimekuwa na mahusiano mengi saaana tena saaana na mabinti na wanawake weeengi tofauti tofauti under the sun,ingawa umri wangu ni mdogo ila naweza kusema nimesoma kwa juhudi kubwa kuhusu miili ya gender hizi mbili,yaani SHE na HE,binaadamu yeyote yule awe mwanaume au mwanamke,wanapopata hisia za kufanya mapenzi ,i mean kutokana na lishe tofauti tofauti ambazo hupelekea kuwa catalyst ya kuwawehusha au kuwapa mzuka fulani ambao haulezeki kabisa ila mpaka yakukute wewe binafsi katika matamanio hayo,hapo utaelewa mzuka,ashki,nyege,umajinuni wa kuingiliwa,umajinuni wa kumwingilia mwanamke,ajizi ya nyege,baaaasi hapo utajua kwa nini mwanamke au mwanaume anabaka,upo hapo?
 
Una maneno asee
 
Una maneno asee
Kiasi fulani mamii,ila hata kama una kitu kinakusumbua na hupati jibu,basi Karanja will always be there to make you stress free,trust me,nimewapa wanawake wengi counseling na wamenishukuru kwa tiba ya maneno tu,na mpaka leo wanafurahia maisha yao kama si mapenzi yao.
 
Bila shaka umekwisha banjuka na mwanamke zaidi ya mmoja, Jiulize tu maswali machache muhimu.

Katika hao wanawake uliowatafuna, wangapi walikuwa na msimamo imara wa kuhakikisha wanajikinga na maradhi i mean kuvaa ndomu hata kama wewe hautaki au kuzembea?

mbegu za mwanaume hubaki katika maungo ya mwanamke kwa muda wa masaa hadi siku 3 na wewe ni mkeo kakuletea uchafu huo na mnalala na kubanjuka tena huwenda ukawa na kamchezo ka kuzama uvinza

Fikilia Kuna hatali ya kupewa mtoto asiye wako kwa kuchanganyiwa tarehe, leo kala jamaa asubuhi na jioni ukala wewe inakuwa cocktail

Hapo ndio utagundua kwanini wanaume tukikamata ushahidi habari inaishia hapo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom