Hivi ni halali DC kufanya kazi za kiserikali akiwa na mtoto wake?

mambali

Senior Member
Oct 16, 2012
172
64
Hii imetokea huko wilayani Korogwe ambako mkuu wa wilaya hiyo Mrisho Gambo alienda katika kazi za kiserikali katika kijiji cha Kalalani akiwa na mwanae mdogo kabisa. Je ni sahihi?
 
Huyo DC angekuwa ni mwanamama ningeuliza labda ananyonyesha!
lakini mwanaume!!
 
sio tatizo kabisa ni vizuri mtoto akaona baba yake anafanya nn na hiyo inasaidia sana kum-motivate mtoto. Kina Beckham wanaenda uwanjani na watoto wao, kina Obama kila kona wako na watoto wao tena kwenye shughuli za kitaifa, watoto wa makenika wanashinda ofisini kwa baba zao, kina Rashidi Matumla watoto wao ndio mabondia wa leo. Mwoneshe mwanao jinsi ya kufanya kazi kwa vitendo inasaidia sana kwenye future yake. Uhuru Kenyata utotoni mwake alikuwa anazunguka mataifa kibao na baba yake.

Kina January Makamba, Vita Kawawa, Ridhiwani Kikwete walianza hivi hivi leo ndio wanaendesha nchi. Mvuvi aende na mwanae Pwani amrithishe kazi kabla hajachelewa (ni msemo tu)
 
Hii imetokea huko wilayani Korogwe ambako mkuu wa wilaya hiyo Mrisho Gambo alienda katika kazi za kiserikali katika kijiji cha Kalalani akiwa na mwanae mdogo kabisa. Je ni sahihi?

Kazi za kiserikali ni zipi!!!!????
Mtoto ana umri gani!!!????
Ilikuwa siku ya kazi!!!????
 
Hivi vitu vya muhinu vya kuongea vimeisha mpaka thread za kipuuzi kama hizi zinaanzishwa? Kwa wingi wa watu wenye akili ndogo kama hizi maendeleo Tanzania ni ndoto ha ha ha
 
Hii imetokea huko wilayani Korogwe ambako mkuu wa wilaya hiyo Mrisho Gambo alienda katika kazi za kiserikali katika kijiji cha Kalalani akiwa na mwanae mdogo kabisa. Je ni sahihi?

huyu dogo gambo ana kherere sana hataishia pazur
 
Hii imetokea huko wilayani Korogwe ambako mkuu wa wilaya hiyo Mrisho Gambo alienda katika kazi za kiserikali katika kijiji cha Kalalani akiwa na mwanae mdogo kabisa. Je ni sahihi?

Usikurupuke,fikiria kwanza kabla ya kuleta hoja.
 
Hii imetokea huko wilayani Korogwe ambako mkuu wa wilaya hiyo Mrisho Gambo alienda katika kazi za kiserikali katika kijiji cha Kalalani akiwa na mwanae mdogo kabisa. Je ni sahihi?

Inategemea ilikuwa siku gani na alienda kufanya nini. Mimi kama naenda ofisini siku za Jumamosi kumalizia vimeo vya wiki huwa naenda na mwanangu ili akaone wapi babaa'ke huwa anatafuta ugali.
 
Back
Top Bottom