bidhaa gani ninazoweza kuimport au biashara ipi inayoweza kufanyika kwa mtaji huo?
Mkuu tafuta humu kuna Post inahusu Mtaji wa Mil 10 na kunanyingine Mtaji wa 80mil ni nzuri zna michango mingi ya mawazo ya kibiashara.
bidhaa gani ninazoweza kuimport au biashara ipi inayoweza kufanyika kwa mtaji huo?
Ni swali la kimbea, una umri gani mkuu? Jibu lako linaweza kuendeleza mjadala wetu.
bidhaa gani ninazoweza kuimport au biashara ipi inayoweza kufanyika kwa mtaji huo?
Mkuu huo umbea uliotumia kuuliza swali unaweza kukusaidia kupata jibu pia,asante!
Mkuu huo umbea uliotumia kuuliza swali unaweza kukusaidia kupata jibu pia,asante!
Nisamehe, sikuwa namaanisha ww ndessa, lengo langu ni kwa mleta uzi.
unaweza fanya biashara ya food processing company b'se in tanzania we dont have that.. it will pay but u need strong advertsment and good packaging. i have business plan well wrote but i dont have money.. so if ur interested leme know i am coming back next months..bidhaa gani ninazoweza kuimport au biashara ipi inayoweza kufanyika kwa mtaji huo?
NJoo nikufanyie mpambanuo wa pesa hiyo kitahalamu,ili upime mwenyewe mradi ...pm....