Hivi ni biashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa milioni 100?

bidhaa gani ninazoweza kuimport au biashara ipi inayoweza kufanyika kwa mtaji huo?

Mkuu tafuta humu kuna Post inahusu Mtaji wa Mil 10 na kunanyingine Mtaji wa 80mil ni nzuri zna michango mingi ya mawazo ya kibiashara.
 
Mkuu tafuta humu kuna Post inahusu Mtaji wa Mil 10 na kunanyingine Mtaji wa 80mil ni nzuri zna michango mingi ya mawazo ya kibiashara.

Ni swali la kimbea, una umri gani mkuu? Jibu lako linaweza kuendeleza mjadala wetu.
 
bidhaa gani ninazoweza kuimport au biashara ipi inayoweza kufanyika kwa mtaji huo?

Mkuu wazo utapata tu, na yapo mengi sana mazur! ila kwakuanzia mm ningekushauri ulitoe wazo lako la kuinport! hilo ni wazo zur kwakua linalipa sana tu ila, kwa namna nyingine bado ni biashara ambayo kesho huenda ikabadilika sana na ukajikuta unataman kuiacha! Pia bado haijengi sana uchumi wa nchi yetu kwa mtazamo wa mbali! yapo mambo mengi ya kuyafkiria hapa nyumban, kama kilimo kama kahawa chai cocoa na mazao ya chakula! ipo fursa kwenye ufugaji, kuna ranchi kibao hazina muendelezaji, kuna mambo ya kuongeza dhamani kwa mazao yatu ya mifugo na kilimo lakin pia unaweza kutazama uchimbaji mdogo wa madini yetu kama dhahabu na almasi. Kuna wachimbaji wadogo wanaofuta sheria vzur wanafanikiwa sana tu na mita yao ipo kwenye mil 20 hadi 200 tu!

kazi kwako mkuu naimani mjadala huu utakua mkubwa mzur na wenye manufaa kwa wote, karbun wanajajukwaa.
 
bidhaa gani ninazoweza kuimport au biashara ipi inayoweza kufanyika kwa mtaji huo?

Duuuh_hebu sajili kampuni ya kokopesha kwa riba mkuu,....kama vip hebu ni_PM for more information....

Duuuuuh....naionea donge kweli kweli hiyo hela.
 
Mkuu huo umbea uliotumia kuuliza swali unaweza kukusaidia kupata jibu pia,asante!

Nilitaka kujua umri wa jamaa ili nitoe mchango wangu sawa na ninavyoona kwa kulinganisha na umri wa jamaa mhusika. Mimi binafsi napenda nijenge himaya ya biashara taratibu hasa kwenye kilimo, sasa mtu wa miaka 60 anayetaka faida kesho asubuhi hawezi kukuelewa.

Mimi mawazo yangu, nikushauri nenda ktk biashara za kuongeza thamani mazao yetu, hili eneo bado liko wazi sana kwa baadhi ya maeneo, na kama una umri mdogo chini ya miaka 40 unaweza kuja kuwa billionea fulani siku si nyingi.
 
NJoo nikufanyie mpambanuo wa pesa hiyo kitahalamu,ili upime mwenyewe mradi ...pm....
 
bidhaa gani ninazoweza kuimport au biashara ipi inayoweza kufanyika kwa mtaji huo?
unaweza fanya biashara ya food processing company b'se in tanzania we dont have that.. it will pay but u need strong advertsment and good packaging. i have business plan well wrote but i dont have money.. so if ur interested leme know i am coming back next months..
 
Kuna uzi unaonyesha Ideas mbalimbali.

Cha msingi fanya biashara unayoipenda na usiige.
La Sivyo 100m itakata mwisho wa siku ukienda Kupima unakuta una sukari,Ini limegoma,figo limenock.

Fungua uzi wenye Ideas za biashara,kwa ushauri zaidi.
Kwepa Sama PMs za humu unaweza ukaibiwa hata kama pesa imo kwenye account.Shauri yako
 
Kiufupi unahitaji wazo la biashara kiufupi kama unahitaji wazo la biashara na procees nzima nitafute ila sitoi wazo bure
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom