Hii thread ina Miaka miwili,nadhani Hiyo 100m itakuwa ishakata.
Mi naomba aje kutupa mrejesho wa matumizi ya pesa yake, huwezi kujua anaweza kuwa mmoja wa mabilionea wa mjini, rafiki zake kaka mkubwa
Hii thread ina Miaka miwili,nadhani Hiyo 100m itakuwa ishakata.
bidhaa gani ninazoweza kuimport au biashara ipi inayoweza kufanyika kwa mtaji huo?
Kwa Dar mara ya mwisho (6 weeks ago) nilipoulizia maeneo ya Kariakoo bei ilikuwa kama tzs 1,950,000. Kuna fursa maeneo gani?Pikipiki sanlg cc125 na 150 mpya zinauzwa bei gani kwa dar na mwanza?
Nilitaka kujua umri wa jamaa ili nitoe mchango wangu sawa na ninavyoona kwa kulinganisha na umri wa jamaa mhusika. Mimi binafsi napenda nijenge himaya ya biashara taratibu hasa kwenye kilimo, sasa mtu wa miaka 60 anayetaka faida kesho asubuhi hawezi kukuelewa.
Mimi mawazo yangu, nikushauri nenda ktk biashara za kuongeza thamani mazao yetu, hili eneo bado liko wazi sana kwa baadhi ya maeneo, na kama una umri mdogo chini ya miaka 40 unaweza kuja kuwa billionea fulani siku si nyingi.
Njoo katika technology.... Kumiliki app, games, website and small buznes kama blog na adsense.... Nicheki 0713774746 tuyajadili vizuri
Mkuu nakuomba utoe ufanunuzi..
hivi ni faida gan hasa inapatikana kwa wanaomiliki apps and games...???Kwa sababu apps nyingi ni free...
Through ads, traffic and mb unazotumia..,. Some times kununua locked features
So mtaji wa kiasi gani ni mzuri kwa kuanzia kwa mtu ambaye hajui kucreate apps na games?
Soma post hiyo juu
Kwanza inabidi uwe mjanja na uwe unapenda games na app ... Ukiwa na milioni everything can go smooth.... But unaweza ukatengeneza just simple app mfano habari za udaku za wema sepetu tu ambayo inaweza kukucost payment zote za mwaka kama usd 250 lakini ukatengeneza pesa sana.... Na kuna vijana wengi wanazo hizo app mnaweza kuingia contract coz hawana pesa ya marketing
Mi naomba aje kutupa mrejesho wa matumizi ya pesa yake, huwezi kujua anaweza kuwa mmoja wa mabilionea wa mjini, rafiki zake kaka mkubwa