Hivi NEC ndio imeanza kubadilishwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi NEC ndio imeanza kubadilishwa?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamayu, Nov 8, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Kwenye magazeti ya leo Dr. Shein kamteua Makamu Mwenyekiti wa NEC, Jaji Makungu kuwa mwanasheria mkuu wa Z'bar. Hivi atafanya kazi zote mbili? Au hii nafasi ya huku NEC ndio iko wazi? Ndio janja ya kuwanusuru hawa mabosi wa NEC?
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  amepewa zawadi kwa kazi nzito ya kuchakachua kura
   
 3. S

  SUWI JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hata wa tz wote watapewa zawadi... tusubiri tutaona/tutasikia mengi...:evil::evil:
   
 4. 2c2

  2c2 Member

  #4
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ya umenena vyema its obvious kama kamfanya kazi nzuri ya kkukiweka chama(ccm) madarakani ndio muda muafaka wa fadhila
   
 5. b

  bob giza JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  hapa ndo tunapotaka mabadiliko ya katiba, ivi ulimtegemea jamaa kama huyu atende haki na je kama alishaambiwa kwamba nikishinda tuu unakuwa mwanasheria mkuu hata ungekuwa wewe ungechakachua to the maximum, naam naona kazi alotumwa kaifanya ipasavyo..kama uanasheria mkuu mwanangu, umefanya kazi nzito..wehu wengine hawa..
   
 6. L

  Lalashe Member

  #6
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si NEC wala ZEC inayobadilishwa ni watu. Mabadiliko ya NEC na ZEC ni ya kimfumo zaidi kuliko watu. Endaikawa mabadiliko aliyoyafanya shein zanzibar ni takrima kwa kazi nzuri alioifanya ya kumwibia kura za ushindi. CCM hata siku moja hawana mawazo ya kutengeneza mifumo ya taasisi za kuongoza nchi kwa haki, kwa lengo la kuhakikisha wizi na ufisadi unaendelea kuwa utamaduni wa taifa hili.
   
 7. chobu

  chobu JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Umenena ng'wana mayu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 8. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kapewa asante kwa kazi nzuri aliyofanya
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Nov 8, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,748
  Trophy Points: 280
  Kubadilisha sura siyo mageuzi tunayoyataka.......................tunachotaka ni NEC ambayo inateuliwa na wadau wa asasi mbalimbali na wala siyo kuteuliwa na mdau mmoja tu ambaye ana masilahi mazito ya kuyachakachua matokeo aendelee kutawala isivyo halali na kinyume cha sheria...........................
   
 10. D

  DENYO JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mnyongaji huyo kapewa zawadi kuchakachua kura za wanyonge
   
 11. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Tumsubiri JK naye kwa fadhila zake kwa watu mbalimbali, waliompiga TAFU ktk uchakachuaji
   
Loading...