Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,193
Hii kauli bila timeframe ni bure,anaweza kuwa anamaanisha sibirini siku ya kiama ndio tutaanza mchakato wa Katiba mpya.subirini
Sasa si bora huyo kasema subiriniHii kauli bila timeframe ni bure,anaweza kuwa anamaanisha sibirini siku ya kiama ndio tutaanza mchakato wa Katiba mpya.
Asitufanye Watoto wa wakwea minazi.
Ndio maana kafaYule mwingine kawaambia sio kipaumbele changu wakaufyata kimya
Sasa kafaNdio maana kafa
Katiba mpya aipigi kura,jitokezeeni kwa wingi kuikataa ccm lzm ilale hata kama kingai atakuwa igp plus kigogo kuunga juhudi bado haitoboi 2025.
Machafuko ya nn CCM ilishakufa kitambo inapumulia police tu,wanachama wake wazee na vikongwe idadi yao inapungua KILA siku.Huko kwenye kura ndio zinahesabiwa kihalali? Njia sahihi kwa sasa ya kuipata katiba mpya ni machafuko tu.
Worrior behind the keyboardsAmani haipatikani ila kwa nchi ya upanga - Methali ya Kiswahili
Kama ambavyo wewe uko na maslahi ya mbogamboga...Wanataka katiba mpya kwa maslaji yao binafsi
Kikwete aliwapa nafasi katiba mpya iandaliwe, sijui hata walifanyaje mchakato ukapotea
Kaja Magufuli kawasmbia sio kipaumbele changu,wameufyata
Kuja Mama Samia kawaambia subirini kwanza nijenge nchi, hawataki wanataka sasa hivi
Ukiwatafakari hao jamaa wapo kwa maslahi yao tu
Wangeenda vizuri na huyu mama mbona katiba ingepatikana
Huyo wa 'siyo kipaumbele changu' yuko wapi sasa? Karma is a....Sasa si bora huyo kasema subirini
Yule mwingine kawaambia sio kipaumbele changu wakaufyata kimya
Huyu wangeenda nae taratibu hilo jambo lingewezekana kabisa
Machafuko ya nn ccm ilishakufa kitambo inapumulia police tu,wanachama wake wazee na vikongwe idadi yao inapungua KILA siku.
Wanasema Wana wanachama milioni 9 mbona bado wanaiba kura na Kupita bila kupingwa.
Mimi sio mboga mbogaKama ambavyo wewe uko na maslahi ya mbogamboga...
Umepoteza mjadala ndugu,hebu rudi kwenye posti za awali.Sasa kafa
Je katiba mpya imepatikana baada ya yeye kufa?
Hakuna cha kupoteza mjadalaUmepoteza mjadala ndugu,hebu rudi kwenye posti za awali.