Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,227
- 1,389

Wapendwa niko huku kijijini mapinga ,bagamoyo katika harakati,nastukizwa na kundi la watu wanapiga kelele na shangwe wanamsindikiza jamaa kaoa kwa mkeka,nauliza ndoa ya mkeka ni ndoa kisheria ..?

umesha sema "ndoa" ya mkeka, sasa unauliza kitu gani?
Sio ndoa hiyo!
ndoa lazima kuwe na makubaliano ya hiyari kati ya watu hao wawili!
ndoa ya mkeka ni ndoa ya kulazimishia
ndoa kama hizo mara nyingi hazidumu.maana pengine huyo jamaa hakuwa na nia ya kuoa,ila kwa aliyoyatenda ni kama analazimishwa
Ni ndoa tena safi kabisa. Hazina gharama.

sio ndoa kisheria ni uhuni uhuni tu wa mitaani............njaa za wazazi ndo zinasababisha yote haya

sio ndoa kisheria ni uhuni uhuni tu wa mitaani............njaa za wazazi ndo zinasababisha yote haya