Hivi ndoa ya mkeka ni ndoa..?

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,229
1,389
Wapendwa niko huku kijijini mapinga ,bagamoyo katika harakati,nastukizwa na kundi la watu wanapiga kelele na shangwe wanamsindikiza jamaa kaoa kwa mkeka,nauliza ndoa ya mkeka ni ndoa kisheria ..?
 
ndoa kama hizo mara nyingi hazidumu.maana pengine huyo jamaa hakuwa na nia ya kuoa,ila kwa aliyoyatenda ni kama analazimishwa
 
Hivi kwa nini jina la ndoa ya mkeka? Ni kwamba wanakaa chini kwenye mkeka ndo wanafungishwa ndoa ama?
 
Wapendwa niko huku kijijini mapinga ,bagamoyo katika harakati,nastukizwa na kundi la watu wanapiga kelele na shangwe wanamsindikiza jamaa kaoa kwa mkeka,nauliza ndoa ya mkeka ni ndoa kisheria ..?
<br />
<br />
umesha sema "ndoa" ya mkeka, sasa unauliza kitu gani?
 
Kisheria hata ukiishi na mtu kwa muda mrefu kama mke na mume na jamii ikawatambua hivyo basi nyie mnaishi kwenye ndoa
 
Sio ndoa hiyo!

ndoa lazima kuwe na makubaliano ya hiyari kati ya watu hao wawili!

ndoa ya mkeka ni ndoa ya kulazimishia
 
Sio ndoa hiyo!

ndoa lazima kuwe na makubaliano ya hiyari kati ya watu hao wawili!

ndoa ya mkeka ni ndoa ya kulazimishia

Katika source of law pia kuna..... islamic law (hususan kwenye mambo ya ndoa taraka na urithi).....kwahiyo sababu hizi kesi mara nyingi huwa zinakwenda mahakama ya mwanzo nina uhakika kama watu wote ni dini ya kiislamu basi sheria za dini yao zitatumika
 
na mfano ikatokea tukaachana ndani ya muda mfupi, nitalazimishwa kugawana nae mali?
 
Mambo ya ndoa ya mkeka we acha tu,tanga unapigiwa kitu kinaitwa mng'aro,n abaikoko ya madebe mpaka geto kwako
 
Hebu angalia swal lako kwnz.ndoa zen unauliza ndoa.weka connection na ubongo
 
sio ndoa kisheria ni uhuni uhuni tu wa mitaani............njaa za wazazi ndo zinasababisha yote haya
 
<font size="3">sio ndoa kisheria ni uhuni uhuni tu wa mitaani............njaa za wazazi ndo zinasababisha yote haya</font>
<br />
<br />


Sio njaa za wazazi tena ktk ndoa hiz wazazi ndio wanapata hasara kama muslim. 1.amtafute mfungishaji na kumlipa pili akufate huko uliko ilihali ukitaka ya kistaarabu ww mwanaume ndio umfate bint na mfungshaj umlipe ww. mi binafs nilisha mfungsha dada yangu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom