hivi ndo tulivyofanya.

Ebana.........dah!!! Wanaume wengine sijui huwaga wamechanjiwa?? Looh......masikini mkewe, usikute hata hajui yanofanywa na mumewe.

labda sikuelewa vizuri ila nimesoma kuwa huyo jamaa kahamia kwa huyo mdada mpya,km ana mke ina maana kwake(alipo mkewe orijino)kakikmbia au!? mbona full shaolin news....
 
pole sana. Mijanaume ndivyo ilivyo(subiri waje)
na hongera kwa kumtosa huyo gumegume
 
Back
Top Bottom