theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,750
- 15,641
- Thread starter
-
- #41
Kuna ambao wanapatikana wa mwezi mmoja na wale wa day old chick...Asante kwa ushauri ,mimi nahitaji kuku chotara iyo first generation je hayo makampuni makubwa wanauza vifaranga vya mwezi mmoja au wanauza vya siku tuu.?
It depends na uhitaji, ila kwa chotara na imani hutopata shida kuwapata...Kwani inachukua muda mrefu kupata vifaranga.?
Kwa dar, vifaranga wa interchick wako vizuri pia wale wa AKM Glitters wako vizuri...
Mtafute Dr Kessy 0712253102 ni agent wao, atakupa maelekezo yote cadey
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ambao wanapatikana wa mwezi mmoja na wale wa day old chick...
Ni wewe unaangalia ni wapi wenye unafuu kwako, ila kama lengo lako ni kufuga kuku wa mayai ni vyema ukasubili wa mwezi mmoja ili kuepuka kuuziwa majogoo mengi au kama lengo lako ni kupata nyama ni vyema si mbaya ukachukua day one old chick maana proportion ya jogoo huwa juu zaidi ya matetea...
Pia, kws day one old chick ukipata mtaalamu mzuri anaweza akawatofoutisha...
Ahsante...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sanaIt depends na uhitaji, ila kwa chotara na imani hutopata shida kuwapata...
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinunue kwa watu, bora hiyo hela tukalewe BiaAsante sana ujui ni kiasi gani umenisadia yani apa nilikuwa najiandaa kutafuta vifaranga kwa watu,sasa uyo Dr kessy awezi kunichakachua.na hao AKM Glitters wanapatikana wapi.?
Ongea nae atakusaidia, kuwa na amani...Asante,mimi ndo naanza kufuga nataka kwa ajili ya mayai ,nilikuwa nataka nianze na wa mwezi mmoja ili nipate uzoefu,sasa hao mwezi wanapatika au mpaka niweke oda nisubiri miezi kadhaa maana nataka nianze ufugaji mwezi huu
Samahani, AKM Glitters wako maeneo gani?Kwa dar, vifaranga wa interchick wako vizuri pia wale wa AKM Glitters wako vizuri...
Mtafute Dr Kessy 0712253102 ni agent wao, atakupa maelekezo yote cadey
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani nilikuwa sijui nitajitahidi niwapate,nitakupa mrejeshoUsinunue kwa watu, bora hiyo hela tukalewe Biawanapatikana opposite to mlimani city, ile njia inayoingia sinza kivulini house namba 64...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa, na anytime ukihitaji assistance nitakutembelea kujua maendeleo...Yani nilikuwa sijui nitajitahidi niwapate,nitakupa mrejesho
Sasa wao SUA wanatusaidiaje kutoibiwa? Maana kama wanaishia kueleza matatizo na wasitupe ufumbuzi, ni bora kubadili chuo kiwe hatchery. Labda wewe uliyefika kwao unifumbue macho, SUA wanauza vifaranga?Hiki ulichoandika hapa nimekithibitisha SUA!!
Nilienda tu kujifunza kuhusu kuku!
MIONGONI MWA NILIYOSIKIA NI HILI ULILOANDIKA HAPA!!
exact the same!!
Mpk nikakumbuka hii thread!!
Sua hawazalishi vifaranga...Sasa wao SUA wanatusaidiaje kutoibiwa? Maana kama wanaishia kueleza matatizo na wasitupe ufumbuzi, ni bora kubadili chuo kiwe hatchery. Labda wewe uliyefika kwao unifumbue macho, SUA wanauza vifaranga?
Acha kupotosha watu. Yaani hapo kwenye kuchambua f1 na f2
F1, ni uzao ilio toka kwa kizazi olijino ambayo ndio parents stork, na kizazi hiki kitakua na uwezo kama ilivyo parent stork.
Na f2 ndio hivi hawa wa mtaani. Unakuta kuku f1 wanacross na hawa wetu wa kiswahili unakuta ndio wanatoa chotara aliye changanyika kwa baba na mama so wengi waliopo mtaani ni f3.
Sasa ukisema kua parents stck ikizeeka wanachinja je uko wanakochukua parents stock inatoka wap. Parents stock inatoka kwa kizazi ambacho ni F1 wakiona hawa wanakaribia kuzeeka wanaanda kizazi kipya. Ikiwa kama wanachinjaa tuu ata huko wanakotoka wote wangechinjwa na kizazi kingeisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Au nikachukue tuu kuroiler AKM glittersNimeona interchick wana kuku aina ya TANBRO ,nauliza kama unauzoefu nao wako vizuri kwenye utagaji.?
Wote wazuri but go for TANBROAu nikachukue tuu kuroiler AKM glitters
Ok,asante
Wapi tunaweza kupata hiyo 1st generation ya kuroiler?