Hivi ndivyo vyama vya upinzani tunavyovihitaji?

Hivi ndivyo vyama vya upinzani tunavyovihitaji?

joka57

Senior Member
Joined
Aug 29, 2014
Posts
138
Reaction score
49
Wakati watanzania wakipigwa viboko na kufungiwa kwenye sero za ofisi za watendaji kwa kushindwa kulipa fedha za ujenzi wa maabala nchini

Kuna habari kwenye gazeti la raia mwema kwamba kuelekea uchaguzi mkuu 2015 CCM imejiandaa kukijaza mapesa chama kipya kilichoanzishwa hivi karibuni ili kiweze kuvuruga jitihada za vyama vya upinzani kuiondoa ccm madarakani. vyama vinavyolengwa ni CHADEMA na CUF ili wanachama wake waondoke na kujiunga na CCM ama hicho chama kipya kilichoanzishwa hivi karibuni.

Na whusika wote wa mpango huu wameishajipanga kukanusha kwamba hawajapewa fedha na CCM na CCM nao watakanusha kwamba hawakutoa fedha kwa hicho chama.

RAIA MWEMA (UK 11)na silvester Hanga
My Take
Mfano mzuri ni yule diwani wa CUF kule Tanga aliyehama cuf na kujiunga na ccm lakini bado anaruhusiwa kuingia kwenye vikao vya baraza la madiwani wakati mtu ukihama chama UBUNGE AU UDIWANI UNAKUWA UMEKOMA KUANZNIA SIKU ULIYOHAMA CHAMA

Kutokana na tuhuma zilizo tolewa na wale madiwani waliokuwa wanataka kununuliwa kule shinyanga na kuhama chama chao kwamba chama ACT kimeanzishwa na ccm ili kugawa wanachama wa chadema. Tunahitaji mtoke nje mje mkanushe hizi taarifa maana hamna chama kingine kimeanzishwa kimkatati hivi karibuni zaidi ya a ACT ya mwigamba na MM.
 
Mbinu hizi zinatumiwa sana na vyama vya kokomonist kama kule Venezuela, na kuna vyama Ulaya mashariki walikuwa wanatumia sana hizi mbinu miaka ya 1990 na kuendelea, ni mbinu za kizamani sana.

CCM wakiwa jukwaani wanajifanya kuponda vyama vya upinzani kwamba si lolote ila wakiwa chumbani ni full kuogopa na kupanga mbinu chafu.
 
Hawata fanikiwa wananchi sasa niwaelew, km cdm ilishindwa kufa kwenye tuhuma za ugaidi hakuna propaganda itakayoshinda kamwe,Mungu ibariki cdm na ukawa kwa ujumla ili taifa lipate ukombozi watu wako wawe huru neema ya maisha ije kwao, ila hata wapate muda wa kukuabudu kila mtu kwa iman yake, baba maudhurio makanisani yamepungua kutokana na ugumu wa maisha kila mtu yuko busy kutafut japo kitu, baba lakini hali hii imeletwa na shetani ccm ebu baba tunakuomba umuangamize km ulivyo angamiza sodoma na gomola ikawe hivi pia kwa ccm baba wape nguvu ukawa ya kushinda majaribu kama Ayubu
 
Mfano mzuri ni yule diwani wa CUF kule Tanga aliyehama cuf na kujiunga na ccm lakini bado anaruhusiwa kuingia kwenye vikao vya baraza la madiwani wakati mtu ukihama chama UBUNGE AU UDIWANI UNAKUWA UMEKOMA KUANZNIA SIKU ULIYOHAMA CHAMA

Kwani huyo diwani alichaguliwa na wana CUF tu? Wabunge na madiwani wapiga kura wao si wanachama wao tu wanachaguliwa na wengi ambao si wanachama.Akiacha kuingia atakuwa hawatendei haki wale ambao si wanachama waliomchagua.Uchaguzi wa ubunge na udiwani sio uchaguzi wa Chama ni wa mtu anayetakiwa na wananchi!
 
ukiwa wa hovyohovyo utaandika hovyohovyo tu ukawa hamuwezi kutudanganya kamwe mtachezea kichapo tu hatuchagui wezi wa ukawa.
 
Hawata fanikiwa wananchi sasa niwaelew, km cdm ilishindwa kufa kwenye tuhuma za ugaidi hakuna propaganda itakayoshinda kamwe,Mungu ibariki cdm na ukawa kwa ujumla ili taifa lipate ukombozi watu wako wawe huru neema ya maisha ije kwao, ila hata wapate muda wa kukuabudu kila mtu kwa iman yake, baba maudhurio makanisani yamepungua kutokana na ugumu wa maisha kila mtu yuko busy kutafut japo kitu, baba lakini hali hii imeletwa na shetani ccm ebu baba tunakuomba umuangamize km ulivyo angamiza sodoma na gomola ikawe hivi pia kwa ccm baba wape nguvu ukawa ya kushinda majaribu kama Ayubu

kwani sasa cdm iko wapi binafsi sijaiona mahala ilipo na inafanya nini naona kunakundi la wafanyabiashara wanaofanya biashara kupitia siasa ndiyo wanajiita chadema au ukawa.
 
Watahangaika sana ila mwisho wa siku ukombozi upo pale pale mimi naona ccm wanazidi kujifilisi tu!!
Afazali hivyo vipesa vyao wavitunze viwasaidie kufanyia kampeni 2020 wajipatie angalau madiwani kadhaa
 
Back
Top Bottom