Hivi ndivyo vifurushi vya 4G ya TTCL

Hazijanivutia sana kwa sasa nipo Halotel na Zantel
 


Hivi bado ulasimu wao wa kuuza simu na line unaendelea au hata line yao waweza itumia kwenye simu yoyote
 
hio 4g wana line? kama ndio wanatumia technology gani na band gani?
 
hio 4g wana line? kama ndio wanatumia technology gani na band gani?

Kwa kweli sijui nijuavyo wanatumia CDMA na wengi bongo ni GSM hapo challenge ilipo. Sijui watafanyaje ili chip zao ziwe compatible na simu za majority au wabadilishe technology to gsm
 
Kwa kweli sijui nijuavyo wanatumia CDMA na wengi bongo ni GSM hapo challenge ilipo. Sijui watafanyaje ili chip zao ziwe compatible na simu za majority au wabadilishe technology to gsm

niliskia cdma wamekataliwa 4g yao ndio maana nikauliza, au ule mkataba hauwazuii kutumia 4g ya gsm?
 
niliskia cdma wamekataliwa 4g yao ndio maana nikauliza, au ule mkataba hauwazuii kutumia 4g ya gsm?

tatizo hili shirika letu nalo lipo lipo tu hakuna matangazo yoyote ya kumfanya mtu akajua kama wanatumia CDMA au GSM.,
kwa kweli hii TTCL nayo ni jipu itumbuliwe tu
 
nimecheki ipp hii ni 4g lte na ni ya kawaida tu na band watakayotumia ni 1800mhz.

kwa uzoefu wangu hii band ni ngumu sana kuikuta kwenye simu hasa hizi zetu za bei rahisi, sababu simu nyingi zinakuja na band 800 4g.

hivyo hio asilimia 5 wanayojipangia kuipata sijui kama wataweza
 

Kwa hiyo line zao za 4g ukiwa na simu ya band yoyote unaweza nunua na kuweka na itafanya kazi. Au ni lazima ununue simu zao za 4g pia
 
Na wenye line za zamani na simu zao za CDMA watafanyaje? Ok mie simu yangu ina support hiyo band.

hawa itabidi watafute simu nyengine za 4g mpya. zipo simu chache zina cdma na 4g lte kama unayo hii utatumia kote kote
 

as far as I know devices nyingi zenye FDD 800Mhz mara nyingi zinakua na 1800Mhz

Nakupa mifano ya Samsung Galaxy J1 Ambayo Tigo wanauza 250,000/=

J1 Band properties LTE band 1(2100), 3(1800), 7(2600), 8(900), 20(800)

Huawei E3372 Modem 4G (LTE) Frequency 1800/2100//2300/2500/2600 MHz

Mziki ni TDD 2300 ambayo wanatumia Smart

So jamaa wametumia akili nzuri sana Kwa mwenye Router ya Tigo ya 4G ataweza kutitmia kwa Mitandao miwili i.e Smile na TTCL 4G

Nawapongeza kwa Hili!
 

yap upo sahihi nilicheki vibaya, 1800 inAenda na 800
 
Nilinunua mobile wifi hotspot ya Huawei E5377 model:E5377Bs-605.Nilitaka kutumia 4G ya TiGo kumbe hii device haina frequency 800 inayotumiwa na Tigo.Nahisi kwa hii ya TTCL itakubali.
 
Nilinunua mobile wifi hotspot ya Huawei E5377 model:E5377Bs-605E5377Bs-605.Nilitaka kutumia 4G ya TiGo kumbe hii device haina frequency 800 inayotumiwa na Tigo.Nahisi kwa hii ya TTCL itakubali.

Yaaa hapo inakubali kama una uhakika frequency ni hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…