Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Huwezi kuwa na pesa ukategemea pesa ya kudownload, siku zote mjinga ndo faida ya tajiri; nyie ni fursa na mtaendelea kuwa fursa mpaka pale akili zitakapowakaa sawa sawa.
Sasa unadhani mimi nina tofaut gani na tajiri unaemuamini wewe anaenunua stocks au shares???

Unajua ulivyo "mtupu" "uchi" kichwani hustahili hata kujibiwa na binadamu yoyote anaefanya forex.
 
Sasa unadhani mimi nina tofaut gani na tajiri unaemuamini wewe anaenunua stocks au shares???

Unajua ulivyo "mtupu" "uchi" kichwani hustahili hata kujibiwa na binadamu yoyote anaefanya forex.
Sihitaji kujibiwa na watu wenye akili fupi kama zako, Toa hoja sio kubwabwaja hapa na kulia lia kama mtoto wa kike maana wakati mnaenda huko hakuna aliyewaita mlienda wenyewe, kama unashindwa kuelewa mambo madogo kama stocks na shares, Kwanini usigeuke fursa ya wenye fursa
 
Sasa kati ya mimi na wewe nani hana akili?? Yani unaita forex ni utapeli na bado unajichanganya kila muda humu ndani unapita kama swala mbugani. BLOCK hii thread usipate notifications zake ukasubscribe na nyuzi za kulima matikiti na kufuga kuku wa broiler.

Unakuja kuonea huruma hela za wanaume eti zinapigwa kwenye forex tena kibaya zaidi wewe ni mtoto wa kiume. Kafanye kazi uwe na hela usijefokolewa sio kazi kuonea huruma hela za wanaume huku umeweka miguu juu kwenye sofa za shemeji yako na kisimu chako cha G-Tide ulichohongwa na shemeji yako.
 
GBP/USD SELL signal 4hr 1hr
GBBB.JPG
 
Kuna vijana naona wanakuja na sound za kusema Forex ni utapeli naona hawajaelewa lengo la huu uzi, Mtoa maada bila shaka ameweka clear Forex ( as it is) si utapeli, ila ukitaka ufanikiwe kwenye hii game komaa uwe independent na sio kutegemea some fancy calls/ signals/ trading robots or EA which tells you to sell/buy.
 
nimejaribu bitcoin aise hiyo swap yake ni hatari kunogaa

View attachment 743631
Achana na hiyo kitu bro! Mbona fx inalipa sana tu tena bila kuumiza kichwa kama utaimaster kwa asimilia kubwa! KINACHO TU-COST KWENYE FX NI KUTAKA MAFANIKIO YA HARAKA HUKU HATUNA ELIMU YA KUTOSHA YA FX. HAPO NDIPO KUUNGUZA AKAUNTU KUNAPOSHIKA HATAMU!
 
mi na trade currency nili test tu kuangalia swap yake inavyo kuwa.

dddddddddddd.JPG
 
everything that you can do and capable of, do it to the fulliest with passion, money is just an outcomes and it will flow
IMG_20180414_112352_178.jpg
 
Mkuu mbona una msemea au wewe ni sekretari wake?

Anyway, sio "nime trade" I am still trading!

Una lingine?
Unajua ni vijana wengi wanavutiwa na uchakarikaji wako.
Nimeona kijana kakuita lakini akaishia kuzungumzia maswala ya irrigation.Kosa langu ni kuhisi alichokuwa anataka kuuliza.

Sina lingine na kama umekwazika 'samahani'
 
Kwa hiyo kahaba mange ndo ameshikiria kichwa chako umejipa muda lakini kusoma forex

Mzee baba sitoi training wala signals cha kukusaidia pitia vitabu hivi naked forex, price action na astroforex halafu nenda youtube tafuta channels za astroforex na urbanforex download video zote na uanze kufuatilia hizo training kwa umakini video ni ndefu na ukifuata kwa umakini hutohitaji sijui indicator wala training uchwala wala signals ila practice sana pips 40 utakuwa unaziona chache sana.
Ukweli mchungu
 
I'm sorry for your loss.

How on earth do you think you can be a profitable trader in a 5 days training?

Forex is not for you. Kafanye mengine.
Umeapologize vizuri lakini ilikuwa vizuri kumshauri zaidi cha kufanya , maana watu wanahasira Bavaria na ni kweli kwamba wengi tulikurupuka lakini kwa vile tushatambua cha kufanya na tushajua kosa(sio wote) watu kama hawa ni kuwaelekeza njia za kuenenda na hii biashara(just hints) tu.
Nawasilisha
 
Unajua ni vijana wengi wanavutiwa na uchakarikaji wako.
Nimeona kijana kakuita lakini akaishia kuzungumzia maswala ya irrigation.Kosa langu ni kuhisi alichokuwa anataka kuuliza.

Sina lingine na kama umekwazika 'samahani'
Wala hujanikwaza mkuu wangu, uwe na amani!! Tuko pamoja kiongozi!!
 
Back
Top Bottom