PreGE2025 Hivi ndivyo Tone Tone inavyotikisa Mikutano ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kitendo cha chama hiki kushirikisha Watu wote kwenye jambo lake ni silaha halisivya mapambano.

Angalia hii

Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha Godbless Lema na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha Boniyai.

Tunaendelea kutunza kumbukumbu.

Mpaka sasa Mkoa wa Arusha ndiyo wanashikilia rekodi ya kuchangia zaidi tonetone mkutanoni ,kiasi cha Tsh 1,335,000/=

Leo mkoa wa Kilimanjaro, Moshi wameshika nafasi ya pili kwa kuchangia tonetone kiasi cha Tsh 1,095,000/=

N.B
Kama kamati tumekubaliana kila mkutano tunamtumia M-Pesa msajili Mzee Francis Mutungi kiasi cha Tsh 30,000/= ya vocha aonje matunda ya tonetone kwa kusaidia kuhamasisha wananchi kutuchangia mikutanoni.

Naona kuna mwana CUF pia
 
Tiharaei wataenda kukusanya kodi 🤣🤣🤣🤣
 
Wizi mtu chama kinakimbia uchaguzi
 
Ni dhahiri hujui "fedha chafu" zinatakatishwa vipi!
Sio mjinga kwenye hilo.
Mnataka kuchangisha Milioni 20 halafu mseme mmepata 200 wakati hizo nyingine mmezifusha kimya kimya na vibegi.Je mnatoa risiti za michango tumwambie CAG aje kukagua?
 
Juhudi ni juhudi

Join the Chain👇🏿
mbowe-jpeg.2812967

Tonetone👇🏿😌
 
Back
Top Bottom