Hukumu ya upelelezi ni hakika na inatuhusu sote. Soma Ufunuo 14:7-9. Kupinga kwako hukumu ya upelelezi ni udhibitisho kuwa hujui maana ya kifo cha Yesu pale msalabani. Ndio maana nakusihi unyenyekee chini ya Msalaba wa Kristo akufunulie ukweli wa hukumu yake na huduma ya hekalu la Mbinguni kama Mtume Paulo alivyoonyeshwa katika kitabu cha Waebrani 9 .Pia Yohana aliliona hekalu la Mbinguni katika Ufunuo.Sasa hapo kuna uongo gani mkuu??? Kuwa Binti Ellen hakuwai kupata matatizo ya ubongo..?
Kuwa mama Ellen G White hakupata njozi za kusema alipelekwa mbonguni...? Au kile kitabu cha hukumu ya upepelezi ni cha uongo..?
Uchiriku ni huu kuabudu sanamuWewe unahainga sana kama chiriku jike anayetaka kutaga....Uta-copy na ku-paste lesson zote leo....
Hawa hapa waabudu vinyago ndio wenye akili timamuUnafikiri Wasabato mna akili timamu...??
Kwahiyo Yesu aliteswa na Warumi...? Hii ni mupya ya mwaka 2017...,
Kumbe wale Mafarisayo na Masadukayo na Waandishi walifanya plot ya kumuua Yesu kumbe walikuwa Warumi .? Hii labda ipo kwenye ile biblia ya Kisabato...Aiseee!!! Kituko njoo ona maajabu huku....
Daah! Naomba nikuulize! Ulishawahi ugua kichaa...??
Ok! Tumekusikia....Mimi ni mjumbe tu kuwakumbusha yaliyokwisha bainishwa
Lingine hili unawasaidiaje waabudu vinyago?Ok! Tumekusikia....
Kama unalingine ulilo-copy , paste haraka bana ukalale uwahi kuamka...
Huu ndio ukristo eti?Kazi wanayo kaka, wao mafundisho yao ni yale yasiyo ya Kikristo, yaani wao ni Roman empire, Papa wakitoka hapo ni Ufunuo, Daniel wamemaliza kazi, sasa watakuwaje Wakristo kwa njia hizo? Ndio maana vitu basics kabisa huwa hawavijui, Yaani Mkristo kweli hajui ni nani aliyemuua Yesu?
Ila nimegundua these guys are so desperate...Kazi wanayo kaka, wao mafundisho yao ni yale yasiyo ya Kikristo, yaani wao ni Roman empire, Papa wakitoka hapo ni Ufunuo, Daniel wamemaliza kazi, sasa watakuwaje Wakristo kwa njia hizo? Ndio maana vitu basics kabisa huwa hawavijui, Yaani Mkristo kweli hajui ni nani aliyemuua Yesu?
So huo ugonjwa wa kichaa wa Ellen White na hizo ndoto za ukichaa ndio wokovu wetu so wewe inakusumbuwa nini????
Huu ndio ukristo eti?
Achen kuudhalilisha ukristo
Pilato alikuwa farisayo? Wale maaskari waliomshika na kumsulubisha ni mafarisayo? Maskini vijana wa kikatoliki hawajui Biblia wanasomewa tu misale! Kwa taarifa yako na wenzio, Yesu aliuawa na warumi.Wale wayahudi walimsaliti kwa warumi ili auawe. Jiulize kwa nini Yuda alipewa rushwa ili awaonyeshe Yesu? Sababu ni kuwa warumi hawakumjua Yesu hivyo walitaka uhakika kutoka kwa mtu wake wa karibu. Pole si kosa lako mmekarishwa zaidi misale kuliko Biblia.Kwahiyo Yesu aliteswa na Warumi...? Hii ni mupya ya mwaka 2017...,
Kumbe wale Mafarisayo na Masadukayo na Waandishi walifanya plot ya kumuua Yesu kumbe walikuwa Warumi .? Hii labda ipo kwenye ile biblia ya Kisabato...Aiseee!!! Kituko njoo ona maajabu huku....
Daah! Naomba nikuulize! Ulishawahi ugua kichaa...??
Tulia kwanza ueleweshwe acha papara kama Otorong'ong'o .Rumi ya kipagani ndio ilikuja kuteka kanisa la wakati huo karne ya 3 wakati mfalme konstantine alipojifanya ameongoka na kusitisha mateso kwa wakristo. Jambo hili lilipokewa kwa furaha lakini waumini hawakujua lengo la mfalme wa rumi ilikuwa ni kujiimarisha zaidi kwa kupitis kofia ya dini na siasa. Taratibu upagani ukaanza kuingia kanisani na idada ya sanamu iliyokuwa inafanywa na rumi ya kipagani ikaletwa kanisani.kanisa na dola ya kirumi ikawa kitu kimoja. Hata Biblia Halisi ikaanza kupigwa vita. Rumi ile iliyohusika kumtesa na kumuua Yesu ikaendeleza mateso kwa wafuasi wake waaminifu.Yapata wakristo milioni 50 waliuwawa na dola ya kirumi na upapa. Muulize Padre wako atakueleza, kwani ukweli huu wanaujua.
Huu ndio ukristo eti?
Achen kuudhalilisha ukristo
Ha ha ha haNdio Shida yenu hiyo, Ukristo ni Kufa kwa Yesu, Kufufuka kwa Yesu na Kurudi kwa Yesu
Waonee huruma hawa kwanza waabudu mavinyago na masanamuIla nimegundua these guys are so desperate...
Tuwaonee huruma tuu...
Hebu ona huyu alichoandika....Eti Ellen Gould White ndio wokovu wao...(Kufuru ya wazi kabisa)
Ndugu hata huu ushahidi wa Roma kumuita papa cheo cha MUNGU BABA MTAKATIFU nalo unapinga?Mnakosa mambo ya kuzungumza au? mna copy copy RAW vitu mnavyo visikia kwenye luninga au kwenye machapisho bila ya kutafakali kiundani waleta habari wana ajenda gani ya siri!
Acha kutumia akili yako kutetea IBADA YA SANAMUHuyo anayebusu Msalaba kama amefanya kitendo hicho kwa kutumainia kuwa huyo ndio Mungu wake basi amepotoka na amekufuru, lakini kama amefanya hivyo kwa heshima ya kutambua kuwa Mwokozi wetu alipitia shida na mateso makali sana kwa ajili ya wokovu wetu na hicho anachokiona ni ishara tu na yupo Mungu amtumainie
Mi mara nyingi huwa nasafiri sana, na mara nyingi nikiwa mbali na nyumbani huwa nabusu Pete ya ndoa kwa heshima ya ndoa yangu na ya mke wangu, lakini pete sio mke wangu na wala ndoa yangu sio pete