Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,313
- 144,689
Si umeona jinsi watu waliopo kwenye vilinge vya uongozi wanavyotanua…Wanapoteza pesa za walipa kodi kwa maigizo hewa ya uchaguzi
Ah wapi!Kazi ya Balosi Dk Asha Rose Mtengeti Migiro ni ku rebrand negative imperial image ya Dada yake kimataifa.
Je pulling na speed hiyo anayo . Mi naona anayo na ni soft spoken tone. Masuala ya ufisadi ataweza kuyajibu
Tatizo sugu wala siyo Samia.Kwa kweli sikutarajia kabisa kwamba SSH angekuwa mkatili hivi kwa Wananchi wake na Demokrasia pia. Unless tufahamishwe kuwa siyo yeye ila Wanamtandao wamemzidi kimo na hana namna yoyote ile ya kufanya maamuzi kwa matakwa na manufaa ya Nchi. Naona uelekeo ukiwa na full giza...
Kama anashirikiana na wanamtandao lazima wamuzidi tu.Rais hatishi wacha watu wale kwa urefu wa kambaKwa kweli sikutarajia kabisa kwamba SSH angekuwa mkatili hivi kwa Wananchi wake na Demokrasia pia. Unless tufahamishwe kuwa siyo yeye ila Wanamtandao wamemzidi kimo na hana namna yoyote ile ya kufanya maamuzi kwa matakwa na manufaa ya Nchi. Naona uelekeo ukiwa na full giza...
Kwani yeye hana akili zake binafsi? Hana busara zake mpaka apotezwe na washauri?Anajichoresha na walomshauri wanampoteza